Uchaguzi 2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

Uchaguzi 2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

Pinda alipokuwa Waziri Mkuu alimzuia Magufuli aliyekuwa Waziri wa Ujenzi kubomoa jengo la Tanesco Ubungo kwa kisingizio kwamba liko kwenye hifadhi ya barabara , hata hivyo baada ya Magufuli kuwa Rais akarudi tena ubungo na kulibomoa jengo lile kiroho mbaya bila huruma na wala bila faida yoyote , Pinda aliona lakini akaufyata , mtu kama huyu anaweza kumshawishi mwananchi gani kuichagua ccm ?
Mkuu, daah, hapo umeuwa!! Nimecheka saaana!!
😂😂
 
.....ambaye alifikia kuwa first lady lakini sasa anaomba tena ubunge ! Maajabu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kujaza wapiga makofi hawezi toa challenge kwa serikali. Huko Lindi mpeni kijana yeyote bora mzima kichwani wa chama chechote upinzani hata akiwa fukara wa mali.
 
Jina la bwana Mdogo Pinda limenikumbusha

1. Alipodondosha machozi bungeni.
2. Aliponusurika kupigiwa kura ya kutokuwa na imani nae
3. Aliposema raia wakifanya usumbufu WAPIGWE TU.
4. Aliposhindwa kujibu majibu ya maswali ya wabunge bungeni.

In short Mizengo Pinda hajawahi kuwa na ushawishi wowote ule, alipewa uwaziri mkuu ili tu isionekane viongozi wakuu wote wa nchi wanatoka kwenye dini moja.
 
Mnapoteza muda hangaika na makene,lema na wanaofanana na half, hao viongozi unaowataja wako mbali mno.
 
Ungemalizia kwa kumuuliza kwanini Mgombea Mwenza wa Chadema Salum Mwalimu hasimami peke yake kwenye kampeni? Anaogopa nini?
Kwa kuanzia tulijitambulisha kwenye kanda , sasa kaa chonjo kuanzia kesho uone mtiti wetu
 
Back
Top Bottom