Uchaguzi 2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

Kuna kitu huyu former First Lady anakosa nyumbani kwao hivyo anatafuta njia ya kutokuwepo nyumbani kwa kisingizio cha Bunge!!! She does not have the competence to be a useful member of parliament!!
Ohooooo !!!
 
Hapao
...Ambaye alifikia kuwa first lady lakini sasa anaomba tena ubunge! Maajabu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[/QUOT
Hapo Ni sawa na gwajiboy kugombea ubunge ni demotion.
 
Pinda huyu huyu! Mlina asali? aliyesema Jiwe apewe mihula mingine zaidi ya kuwa Rais?
 
Maandishi yako ni sawasawa na kijana anayeibuka na kulolonga kwamba msichana fulani si mzuri. Kama si mzuri, so what? Hakujiumba mwenyewe. Anaendelea na maisha yake. Sawasawa na wewe unavyosema Kikwete, Majaliwa na Pinda hawana ushawishi. So what? Kama wameshindwa kukushawishi wewe, ni sawa na yule msichana uliyemsema wewe kuwa siyo mzuri akaja akachukuliwa na mwenzako wakaishi vizuri. Wakina Kikwete, Majaliwa na Pinda hawakuvutii wewe. Endelea na wakati wako. Hujui kama kuna wengi wanaovutiwa nao.
 
Mkuu ulimola , habari za Geita
 

Kuna jambo moja linasemwa sana, na wewe hapa umelisema, 'mtu wa visasi'. Kisasi ni malipizi kwa mtu aliyekuumiza. Sasa hebu niambie akina nani hao walianza kukuumiza yeye kabla na walimuumizaje mpaka awafanyie visasi'? Kwanza tupunguze blanketi statement na mambo yanaodhaniwa kufahamika wakati hayafahamiki.
 
Nyumbu katika ubora wake
 
Mnafurahisha mnaposhambulia mtu binafsi badala ya Sera za Chama zao mkidhani wanayotekeleza ni kwa matakwa yao kama ilivyo CHADEMA SACCOS ya Mbowe.

Kwa vitendo vyenu vya kuwashambulia viongozi wa CCM, walioheshimika na wanachama, hakija mnajijengea chuki. Hao wanachama (>milioni 12) watawaadhibu kwa kura. Hata wachache ambao hakupendezwa na uongozi wa hao, hawatapiga kura za chuki.

Je, CHADEMA ina wanachama wangapi watiifu wa kuwapigia kuea wagombea, ikizingatiwa:-
1) Mgombea, kweye kampeni zake hadi sasa, Sera yake ni kuchochea chuki dhidi ya Magufuli. Hili linamtenga na jamii iliyostaarabika (milioni 5 ya wapiga wasio wanachama wa CCM;
2) Sera ya "haki, uhuru na maendeleo ya watu" ni nadharia ya kisomi ambayo hata Mgombea wa Urais ameshindwa kuielezea, sembuse wabunge na madiwani. Kwa ushahidi, hao wagombea wa CHADEMA, kama hawatukani kwenye kampeni, wamesikika wakitoa ahadi za "maendeleo ya vitu".
3) Viongozi wa CHADEMA wameshindwa kuwapa imani wanachama wao kwa matumizi yasioeleweka ya ruzuku kiasi cha kupitisha bakuli la kuchangia gharama za kampeni.
4) Tuhuma za ulevi wa M/Kiti, Mbowe, na matumizi mabaya ya fedha za chama, ikiwemo rukuzu, kushindwa kujenga ofisi, ni kigugumizi kuzijibu.

Katika mazingira hayo, CHADEMA yenye wanachama, wasiozidi milioni 4, kutegemea ushindi ni ndoto za alinacha. Wasio na vyama nao wanasita kuamini viongozi wasiominika kwa wanachama wao.
 
Wanatumika tu km ndomu.......wamuachie huyu mharibifu wa uchumi wa nchi afe na chama chake basi vinginevyo wanajidharirisha bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…