Uchaguzi 2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

unajua kuna watu wengine hata kama ulichukua demu wake mkiwa O'LEVEL , au labda ulimnyima pafu ya bangi maskani basi akipata madaraka atalipiza kisasi
 
Nani kakudanganya kwamba Magufuli anafuata sera za ccm ?
 
Nani kakudanganya kwamba Magufuli anafuata sera za ccm ?
Weka lolote lililofanywa kinyume na Ilani kama unaijua? Najua hujui hata maana ya Ilani kwa kuwa hicho chama hakina kama kinayo viongozi hawaifuati kitendo cha kufisadi fedha ya wabunge waliochangia kwa ajili ya uchaguzi, sasa bakuli la ombaomba linatembezwa

Wewe unamdanganya nani nyuma ya "keyboard". Unachoweza ni kuwatukana viongozi tu.
 
Ndani ya Ilani ya ccm 2015 - 2020 kuliwekwa kipengere cha kuwarejesha masomoni watoto wa kike waliopata ujauzito , nadhani unakumbuka kilichosemwa na Magufuli kuhusu jambo hili , huyu anafuata ilani ya nani ?
 
Ndani ya Ilani ya ccm 2015 - 2020 kuliwekwa kipengere cha kuwarejesha masomoni watoto wa kike waliopata ujauzito , nadhani unakumbuka kilichosemwa na Magufuli kuhusu jambo hili , huyu anafuata ilani ya nani ?
Weka hicho kifungu cha Ilani ya CCM, 2015. CCM ni taasisi siyo mtu na ndiyo maana inaisimamia kikamilifu Serikali yake
 
Naskia jk chalinze kuna mradi wa maji maji yote yanakwenda shambani kwake wananchi hawapati maji
 
Mmeanza kuweweseka....
Kuna mambo huwa yananichanga sana yaani sanaa

Kila uchaguzi kuna chama cha Kijani kinadai kinatuletea Tanzania Mpya.

Nafikiri huwa wanamaanisha upya wa matatizo, ujinga na umaskini.

Fikiria kwa miaka 55+ sasa - wanasema tusichague wengine kwa kuwa wataondoa amani lakini wakati chini ya utawala wao wa kiimla tuna WASIOJULIKANA,VIROBA FUKWENI, Disapperance of Azory , kutapeliwa korosho zetu, Kuvunjwa haki za binadamu na sheria mbaya za ovyo ovyo
 
Naunga hoja...hawana umaana wowote. Wamekosa mvuto sio wa kijamii au kisiasa...watupishe na unafiki wao!


 
unajua kuna watu wengine hata kama ulichukua demu wake mkiwa O'LEVEL , au labda ulimnyima pafu ya bangi maskani basi akipata madaraka atalipiza kisasi

Hujasema kitu. Unapomtaja mtu specifically ana visasi' ni lazima useme anamfanyia nani kisasi na huyo anayelipuziwa kisasi alimtendea jambo baya mlipizaji. La sivyo unabaki kuwa uongo tu mnaourudiarudia uwe ukweli lakini mnapoulizwa justification mnakuja na stori za kitoto, ooh, sijui demu O level. Hizi ni ishu za Taifa, uhai na ustawi wa mamilioni ya watu, msitumie ashki zenu kutengeneza uongo ambao unaweza kuja kuathiri vizazi na vizazi. Umefika wakati tuache uzushi kwa sababu ya ushabiki wa kijinga. Tuziulize nafsi zetu Kama hata zenyewe zinaamini huu uongo tunaotungatunga kila kukicha?
 
Kama ujui kusoma hata picha huwezi elewa hasa mahaba yakiwa mbele.
Hao wangepewa haki ya kugawa pumzi wallahi hakuna angelibaki duniani,umeshawi sikia PhD ya visasi
 
Wanatafuta per diem tu hawana kitu kabisa waachane na siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…