johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu mzee ni muongo na tapeli haswa, kwanini hakusema wakati yupo hai na alipofilisiwa na Makonda?Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee
Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake
Source: Kitenge Tv
Sasa,mbona alimuacha nyakati fulani ateswe,atwezwe utu wake,afungwe jela kiuonevu na kunyang'anywa mali na fedha zake kibabe tu?Alikuwa wapi?Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee
Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake
Source: Kitenge Tv
Usimwamini huyu mzee ni muongo snSasa,mbona alimuacha nyakati fulani ateswe,atwezwe utu wake,afungwe jela kiuonevu na kunyang'anywa mali na fedha zake kibabe tu?Alikuwa wapi?
Naanza kuiamini sentensi yako.Laiti Edward Lowassa angekuwepo tungepata ushahidi zaidi.Usimwamini huyu mzee ni muongo sn
Mzee amekaa kitapeli tapeli snNaanza kuiamini sentensi yako.Laiti Edward Lowassa angekuwepo tungepata ushahidi zaidi.
Ulitaka afanye nini.... na mamlaka hana tena? Kwani JK yeye hajipendi akae mbele ya BulldozerSasa,mbona alimuacha nyakati fulani ateswe,atwezwe utu wake,afungwe jela kiuonevu na kunyang'anywa mali na fedha zake kibabe tu?Alikuwa wapi?
Sentensi yako ya kwanza imekuonesha namna ambavyo aidha huwezi kuwaza na kuwazua kimbinu au hauna uwezo kabisa wa kuendelea kuwaza mbele.Ulitaka afanye nini.... na mamlaka hana tena? Kwani JK yeye hajipendi akae mbele ya Bulldozer
Sana.Alimulea vzur,
Labda target ilikua yeye, akastukaSasa,mbona alimuacha nyakati fulani ateswe,atwezwe utu wake,afungwe jela kiuonevu na kunyang'anywa mali na fedha zake kibabe tu?Alikuwa wapi?