Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

Wenzetu wataalamu wa Uchumi Wana msemo wao maarufu wa "Mnyororo wa Thamani"

Hii Nchi ili kuendelea itachukua miaka 200 ijayo hadi Vizazi vya hawa ma-borntown vifutike kwenye Uso wa Dunia

Otherwise tutaendelea kuisoma namba 🙌
Sio rahisi kufutika, wanawaachia watoto wao,angalia list ya viongozi vijana utaona,
 
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee

Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake

Source: Kitenge Tv
Wao hawakuwa wazuri? Mzee Manji na Mwanaye wamekufa..!!
 
Back
Top Bottom