Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

kuliamini jitu lile ni shughuri, tulilipa miaka kumi liongoze nchi....nchi ikawa kama inaongozwa na BIBI yaani, leo ataweza jambo gani tumuamini tena??
Acha ujuha, gubu na chuki. Wengi wetu tulimpenda Kikwete, alikuwa ni raisi mzuri tu, na uchumi kwa watu ulichangamka vema.
 
Ok. Nimeelewa sasa! Kumbe ndio maana manji alimwambiaga yule jamaa aongei na mbwa Bali anaongea na mwenye mbwa! Kumbe alikua sahihi, alikua anaongea na baba yake.
 
Acha ujuha, gubu na chuki. Wengi wetu tulimpenda Kikwete, alikuwa ni raisi mzuri tu, na uchumi kwa watu ulichangamka vema.
wewe na ukoo wako wote mlimpenda?, uchumi wenu ulichangamka?, alikuwa rais mzuri kwenu?....kwahiyo unafurahia na kukejeli wengine??. Pole sana, hakuna rais kilaza kama yule, kama unaaminiwa nafasi ya juu ukiwa bado kijana jua unatakiwa ufanye mambo makubwa sana kwa taifa lako uonyeshe utofauti na akiwekwa rais mzee, sema viongozi wengi wa nchi yetu ni jamii kama wewe...mnajaa urafi, wizi, uongo, tamaa, wavivu, watoto wa kiume maneno mengi hakuna tofauti na watoto wa kike, kazi sifuri...mnaweza kujisifu tu kwa vitu msivyoviweza. 😀
 
Ila ukifuatilia kwa undani namna Yusuph Manji alivyoibuka ghafla from nowhere miaka ile na ile Quality Group yake, hata huwezi kushangaa.
Baba yake manji alikua na kiwanda Cha mabati na mabodi ya magari tangu Nyerere, Yusuf yeye ni kijana aliyeachiwa duka Kama mo,ni utaratibu wa wahindi
 
wewe na ukoo wako wote mlimpenda?, uchumi wenu ulichangamka?, alikuwa rais mzuri kwenu?....kwahiyo unafurahia na kukejeli wengine??. Pole sana, hakuna rais kilaza kama yule, kama unaaminiwa nafasi ya juu ukiwa bado kijana jua unatakiwa ufanye mambo makubwa sana kwa taifa lako uonyeshe utofauti na akiwekwa rais mzee, sema viongozi wengi wa nchi yetu ni jamii kama wewe...mnajaa urafi, wizi, uongo, tamaa, wavivu, watoto wa kiume maneno mengi hakuna tofauti na watoto wa kike, kazi sifuri...mnaweza kujisifu tu kwa vitu msivyoviweza. 😀
Kikwete alichukua nchi akiwa na miaka zaidi ya hamsini,hakuwa kijana, kikwete aliongeza $30b+ kwenye uchumi wa tz,aliajiri kuliko yeyote,alijenga lami kuliko awamu tatu zilizomtangulia,mikopo elimu ya juu,kilimo kilipaa kupitia kilimo kwanza wakulima wakainuka kimaisha,nyongeza mishahara na kupanda madaraja, biashara ilikua tz na ilifanyika,Kama una chuki zako kwake shauri yako
 
Huyu mtu sio mtu wa kuaminika hata kgd na sio mwadilifu hata chembe!
Ni bora atulie asije akaamsha hasira hasa tukikumbuka;
Utapeli wa fedha za Escraw!
Utapeli wa Gas yetu kule kusini!
G
Magufuli alikuwa sahihi

Mojawapo ya usahihi wa Magufuli ni ku deal na Manji bila woga Wala Nini baada ya kuona anataka kugeuza JWTZ sehemu yake ya ufisadi wake

Magufuli akasema huko Sasa umefika mbali ama zake Magufuli au za Manji

Manji akaona mziki wa Magufuli hauwezi akakimbia nchi Kwa spidi ya mwewe akatokomea Marekani
Alifanya ufisadi gani jwtz?
 
Kikwete alichukua nchi akiwa na miaka zaidi ya hamsini,hakuwa kijana, kikwete aliongeza $30b+ kwenye uchumi wa tz,aliajiri kuliko yeyote,alijenga lami kuliko awamu tatu zilizomtangulia,mikopo elimu ya juu,kilimo kilipaa kupitia kilimo kwanza wakulima wakainuka kimaisha,nyongeza mishahara na kupanda madaraja, biashara ilikua tz na ilifanyika,Kama una chuki zako kwake shauri yako
Kila aliyesoma fani ya Ualimu kuanzia certificate mpaka shahada ajira kwake ilikuwa uhakika.

Mtu baada ya kuhitimu ile miezi miwili mitatu alifanya kwenda kuwatembelea ndugu na kuwasalimia huku akisubi serikali ya Jakaya impangie kituo cha kazi.

Huyu mzee sijui aliwezaje kufanya haya mambo. Hongera Kikwete.
 
Sasa,mbona alimuacha nyakati fulani ateswe,atwezwe utu wake,afungwe jela kiuonevu na kunyang'anywa mali na fedha zake kibabe tu?Alikuwa wapi?
Muda mwingine kuwaachavwatoto wateseke ni kiwalea pia. Kuona upande mwingine WA sarafu
 
Back
Top Bottom