Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee.

Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake.

Pia soma
- TANZIA - Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Kikwete ana mambo ya kikuda na umbea sana wakati mwingine huwezi jua kama ni mtu mzima.
 
Nchi za mwenzetu Mwanasiasa kuwa na urafiki urafiki na Wafanyabiashara ni moja ya dalili kubwa ya Rushwa mfano Marekani na Ulaya lazima watu mjadili hela mnapataje.
Tanzania Wafanyabiashara kama ASAS ni wajumbe huko CCM.

Kikwete was biggest backward step nchi yetu ilipiga
 
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee.

Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake.

Pia soma
- TANZIA - Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

No Wonder alikuwa very arrogant wakati wa awamu ya nne ... Kumbe alikuwa ni mtoto wa Rais.

Hapa ndiyo naanza kupata connection ya Makonda kuwataja Manji na Rizwan kwenye lile sakata la vipimo vya mkojo.
 
Sasa,mbona alimuacha nyakati fulani ateswe,atwezwe utu wake,afungwe jela kiuonevu na kunyang'anywa mali na fedha zake kibabe tu?Alikuwa wapi?
Usiwe mwepesi kuhukumu bro!!
Huenda haikufungwa kwa sababu ya huyu mzee wa town huwezi jua, hadi anakamatwa huenda kulikuwa na ushahidi ila akaingilia kati bro so don't judge things you never proved it
 
Soma vizuri na kwa kutulia huku unameng'enya maandishi. Hajahukumiwa mtu hapo.Hayo ni maswali yenye kuhitaji majibu na ndiyo maana kuna alama za kuuliza humo.Au nikikuuliza jambo nitakuwa nimekuhukumu?
 
Kwa kupitia mahakama ipi?Mahakama ndiyo yenye uwezo huo na siyo mtu akinywa lubisi anyang'anye mali za watu kadiri ya hisia zake.
Mahakama ipi ?jengo lijengwe na nssf kwa mafao ya watanzania ulete habari za mahakama ,mahakama kwenye hela za watanzania huo ujinga baki nao wewe na wenzako wengi.
 
Mahakama ipi ?jengo lijengwe na nssf kwa mafao ya watanzania ulete habari za mahakama ,mahakama kwenye hela za watanzania huo ujinga baki nao wewe na wenzako wengi.
You're nothing but a savage!Mambo hayaendi kihayawani hivyo wewe kiumbe.Ndiyo maana kila kitu mnashindwa kitaalamu kwa sababu ya kuongozwa na hisia mfu/hasi.
 
You're nothing but a savage!Mambo hayaendi kihayawani hivyo wewe kiumbe.Ndiyo maana kila kitu mnashindwa kitaalamu kwa sababu ya kuongozwa na hisia mfu/hasi.
Kati ya manji na nssf nani alishindwa ?aliyeshindwa anajulikana hiyo ndio nguvu ya dola itaendelea kuwepo ,hakuna sababu ya kusumbua mahakama kwa jambo lilio wazi ni kuongeza kesi zisizo na ulazima.
 
Back
Top Bottom