Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

Quality plaza ni jengo la nssf
Magufuli Mwanaume Ali deal na Bilionea fisadi Manji without any fear za kuogopa mafisadi waiba Mali Am umma Manji akakimbia nchi kama mwehu

Magufuli alikuwa na hasira sana na wezi waibia serikali na miradi inayohusisha pesa za walipa Kodi

Manji alikuwa mmojawapo wa vibaka kukwapua pesa za walipa Kodi na pension za walala hoi wa wa NSSF akishirikiana na Kikwete na boss wa NSSF wa wakati huo ambaye Sasa balozi Ramadan Dau fisadi lenye sigda usoni linalojificha kwenye swala tano msikitini
 
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee.

Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake.

Pia soma
- TANZIA - Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Na wewe jk ukafikiri unaweza kumlea mtoto wa bwanyenye tajiri wa kihindi😂. Bila shaka ulijua kama mwanasiasa atafanya ile kama kwa kizungu wanasema I scratch your back and you scratch my back🤣
 
QG aliirithi kutoka kwa baba yake, sema baba yake alikuwa mbali na media, yusuf yanga ilisababisha tumjue zaidi
Na yale majengo ya taasisi za serikali aliyokuwa anayanunua kwa bei ya chini, halafu anayakarabati na kuiuzia tena serikali hiyo hiyo kwa bei ya kulangua...!! Una maoni gani?
 
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee.

Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake.

Pia soma
- TANZIA - Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Kikwete bwan, yeye kila mtu akifa anasema alifanya vile nk
  • Magufuli nilimuachia SGR akamilishe
  • Magufuli nilimwambia ajenge uwanja wa JKNIA
  • Magufuli nilimwambia ajenge Nyerere Hydro
Na sasa Mzee Manji alinikabidhi Yusufu Manji!

Kuna siku atasema Samia nilimwambia uza bandari!
 
Na yale majengo ya taasisi za serikali aliyokuwa anayanunua kwa bei ya chini, halafu anayakarabati na kuiuzia tena serikali hiyo hiyo kwa bei ya kulangua...!! Una maoni gani?
Ni upigaji kama upigaji mwingine tu, ni ngumu kuwatenganisha ccm na upigaji , si unakumbuka marehemu alikuwa diwani? Halafu ilikuwaje manji akawa diwani wa mbagala au alikuwa akiishi huko?
 
Na yale majengo ya taasisi za serikali aliyokuwa anayanunua kwa bei ya chini, halafu anayakarabati na kuiuzia tena serikali hiyo hiyo kwa bei ya kulangua...!! Una maoni gani?
Yaani Kikwete angekaa kimya angeumwa malaria? Anataka Nini wakati watu watanzania wanajua Manji akikuwa fisadi

Anataka akifa watu wakiaga wamporomoshee matusi ya nguoni au ?

Asione watanzania wajinga kunyamaza kinywa na asiwachokonoe na miradi Yake ta kifisadi aliyoshirikiana na Manji kama Proxy wake wakati mwizi NI yeye
 
Sasa hapa naanza kuamimi ile kauli ya kiburi "Mimi siongei na Mbwa, naongea na Mwenye Mbwa".
Mara paaaaa Mbwa akachukua RUNGU, mara chikuchikuotae anaanza kulia.
Kingine ,alikuwa mwizimwizi ,anaweza kuwambia yanga

Kwamba,mashabiki woote waingie taifa analipa yeye viingilio....kituko sasa viingilio ten ten

Shartlake, kila mwanachama awe na jezi mpya ,na inauzwa 30k ,vitabia hivyo kumbe alirithi kwa mleziwake
 
Sasa,mbona alimuacha nyakati fulani ateswe,atwezwe utu wake,afungwe jela kiuonevu na kunyang'anywa mali na fedha zake kibabe tu?Alikuwa wapi?
Hakuwa madarakani wakati huo, yawezekena alijitahidi kuzuia, ikawa hivyo.
Kwani tunajuaje kama watu wake waliopata hiyo dhoruba ni Manji tu?
Je Kikwete alikubaliana na alivyotendewa Manji na wengine?
 
Back
Top Bottom