airGrid
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 961
- 772
Mbona MAKONDA alivyomdhalilisha "MWANAO" ulikaa kimya?!Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee.
Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake.
Pia soma
- TANZIA - Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani