Kikwete ana mambo ya kikuda na umbea sana wakati mwingine huwezi jua kama ni mtu mzima.
Dhalim naye alikuwa na maneno ya kifedhuli sana.Si waliambiwa waache kuwashwa washwa!!
Hiyo mahakama inajiongoza yenyewe? Hao mahakimu na majaji sio bimaadamu?Kwa kupitia mahakama ipi?Mahakama ndiyo yenye uwezo huo na siyo mtu akinywa lubisi anyang'anye mali za watu kadiri ya hisia zake.
Acha ujuha, gubu na chuki. Wengi wetu tulimpenda Kikwete, alikuwa ni raisi mzuri tu, na uchumi kwa watu ulichangamka vema.kuliamini jitu lile ni shughuri, tulilipa miaka kumi liongoze nchi....nchi ikawa kama inaongozwa na BIBI yaani, leo ataweza jambo gani tumuamini tena??
DuuuMzee amekaa kitapeli tapeli sn
wewe na ukoo wako wote mlimpenda?, uchumi wenu ulichangamka?, alikuwa rais mzuri kwenu?....kwahiyo unafurahia na kukejeli wengine??. Pole sana, hakuna rais kilaza kama yule, kama unaaminiwa nafasi ya juu ukiwa bado kijana jua unatakiwa ufanye mambo makubwa sana kwa taifa lako uonyeshe utofauti na akiwekwa rais mzee, sema viongozi wengi wa nchi yetu ni jamii kama wewe...mnajaa urafi, wizi, uongo, tamaa, wavivu, watoto wa kiume maneno mengi hakuna tofauti na watoto wa kike, kazi sifuri...mnaweza kujisifu tu kwa vitu msivyoviweza. 😀Acha ujuha, gubu na chuki. Wengi wetu tulimpenda Kikwete, alikuwa ni raisi mzuri tu, na uchumi kwa watu ulichangamka vema.
Baba yake manji alikua na kiwanda Cha mabati na mabodi ya magari tangu Nyerere, Yusuf yeye ni kijana aliyeachiwa duka Kama mo,ni utaratibu wa wahindiIla ukifuatilia kwa undani namna Yusuph Manji alivyoibuka ghafla from nowhere miaka ile na ile Quality Group yake, hata huwezi kushangaa.
Kikwete alichukua nchi akiwa na miaka zaidi ya hamsini,hakuwa kijana, kikwete aliongeza $30b+ kwenye uchumi wa tz,aliajiri kuliko yeyote,alijenga lami kuliko awamu tatu zilizomtangulia,mikopo elimu ya juu,kilimo kilipaa kupitia kilimo kwanza wakulima wakainuka kimaisha,nyongeza mishahara na kupanda madaraja, biashara ilikua tz na ilifanyika,Kama una chuki zako kwake shauri yakowewe na ukoo wako wote mlimpenda?, uchumi wenu ulichangamka?, alikuwa rais mzuri kwenu?....kwahiyo unafurahia na kukejeli wengine??. Pole sana, hakuna rais kilaza kama yule, kama unaaminiwa nafasi ya juu ukiwa bado kijana jua unatakiwa ufanye mambo makubwa sana kwa taifa lako uonyeshe utofauti na akiwekwa rais mzee, sema viongozi wengi wa nchi yetu ni jamii kama wewe...mnajaa urafi, wizi, uongo, tamaa, wavivu, watoto wa kiume maneno mengi hakuna tofauti na watoto wa kike, kazi sifuri...mnaweza kujisifu tu kwa vitu msivyoviweza. 😀
GHuyu mtu sio mtu wa kuaminika hata kgd na sio mwadilifu hata chembe!
Ni bora atulie asije akaamsha hasira hasa tukikumbuka;
Utapeli wa fedha za Escraw!
Utapeli wa Gas yetu kule kusini!
Alifanya ufisadi gani jwtz?Magufuli alikuwa sahihi
Mojawapo ya usahihi wa Magufuli ni ku deal na Manji bila woga Wala Nini baada ya kuona anataka kugeuza JWTZ sehemu yake ya ufisadi wake
Magufuli akasema huko Sasa umefika mbali ama zake Magufuli au za Manji
Manji akaona mziki wa Magufuli hauwezi akakimbia nchi Kwa spidi ya mwewe akatokomea Marekani
Amekosea sana. Hivi mtoto wa kike kabisa unakuwaje hater? Duh!Huna akili kahaba wewe,heshimu wazee.
Kila aliyesoma fani ya Ualimu kuanzia certificate mpaka shahada ajira kwake ilikuwa uhakika.Kikwete alichukua nchi akiwa na miaka zaidi ya hamsini,hakuwa kijana, kikwete aliongeza $30b+ kwenye uchumi wa tz,aliajiri kuliko yeyote,alijenga lami kuliko awamu tatu zilizomtangulia,mikopo elimu ya juu,kilimo kilipaa kupitia kilimo kwanza wakulima wakainuka kimaisha,nyongeza mishahara na kupanda madaraja, biashara ilikua tz na ilifanyika,Kama una chuki zako kwake shauri yako
Kweli kabisa ni muongo muongo na mpenda sifa sana.. Ndio maana kwa Mamvi hakupewa nafasi ya kuongea..Usimwamini huyu mzee ni muongo sn
Muda mwingine kuwaachavwatoto wateseke ni kiwalea pia. Kuona upande mwingine WA sarafuSasa,mbona alimuacha nyakati fulani ateswe,atwezwe utu wake,afungwe jela kiuonevu na kunyang'anywa mali na fedha zake kibabe tu?Alikuwa wapi?
Wanajua unafiki wakeKweli kabisa ni muongo muongo na mpenda sifa sana.. Ndio maana kwa Mamvi hakupewa nafasi ya kuongea..