Mnafiki Kikwete ndiye janga la taifa kabisa! katiba hatuna leo kwasababu ya hili janga. Hata Magufuli ukali wake na rushwa aliyopata ni kwasababu ya huyu janga. Samia sasa kuanzia aanze kumsikiliza huyu janga naye kawa janga!!!
Eti huyu ndiye kuangalia chaguzi na kuwa mwangalizi wa kitafia! huyu janga. Kati ya watu mabinafsi Tanzania ni Kikwete
Leo kikwete anawaita wapinzani wote Pumba na CCM Mchele!!!