Huenda hii ndio BRN aliyoimaanishaMzee wa Big Results Now.
Amekuwa hasara kubwa sana kwa taifa…
Huyo kikwete ndiye aliyemkata Rafiki yake Lowassa na kumpendekeza Magufuli. Na ndiye kiongozi pekee aliyekuza demokrasia nchiniMnafiki Kikwete ndiye janga la taifa kabisa! katiba hatuna leo kwasababu ya hili janga. Hata Magufuli ukali wake na rushwa aliyopata ni kwasababu ya huyu janga. Samia sasa kuanzia aanze kumsikiliza huyu janga naye kawa janga!!!
Eti huyu ndiye kuangalia chaguzi na kuwa mwangalizi wa kitafia! huyu janga. Kati ya watu mabinafsi Tanzania ni Kikwete
Leo kikwete anawaita wapinzani wote Pumba na CCM Mchele!!!
Na uchaguzi wa 2025 sijui utakuwa hasara tupu kama hiyo KatibaMnafiki Kikwete ndiye janga la taifa kabisa! katiba hatuna leo kwasababu ya hili janga. Hata Magufuli ukali wake na rushwa aliyopata ni kwasababu ya huyu janga. Samia sasa kuanzia aanze kumsikiliza huyu janga naye kawa janga!!!
Eti huyu ndiye kuangalia chaguzi na kuwa mwangalizi wa kitafia! huyu janga. Kati ya watu mabinafsi Tanzania ni Kikwete
Leo kikwete anawaita wapinzani wote Pumba na CCM Mchele!!!
Dua la kenge. Hafi mtu hapa. Watanzania sisi ndio wa kujilaumu aje hata malaika atuongoze hatutabadika kwasababu sis ni wachawi na wambea.
Itasaidia nini?Hatuwezi kumroga huyu mzee?
Atakufa kifo cha aibu sana huyu mpuuzi.Hatuwezi kumroga huyu mzee?
Amefanya mengi makubwa sema manajizima data tuMzee wa hovyo sana huyo. Anakuumiza huku anatabasamu.
Binafsi sikumbuki ni lini huyu kiumbe aliwahi kufanya jambo lenye kutanguliza maslahi ya nchi! Nakumbuka mara zote aliangalia zaidi maslahi yake, ya familia yake, ya chama chake, au ya jamaa zake tu.
Yataje yote hapa na yawe yana maslahi ya moja kwa moja kwa Taifa! Richmond! Dowans! Gesi ya Mtwara! Mchakato wa Katiba Mpya!Amefanya mengi makubwa sema manajizima data tu
Acha kutukana hovyo na kujitoa ufahamu.Write your reply...wapinzani nyie ndio chanzo cha kukosa katiba mpya jk alijitahidi ipatikane nyie mkavuruga na ukawa yenu kwa hoja za kipumbavu kabisa. Ndio maana Magufuli alifuta kabisa mpango wa katiba mpya
Mkutano mkuu na mchakato wa katiba mpya ulifanyika chini ya uongozi wake.Yataje yote hapa na yawe yana maslahi ya moja kwa moja kwa Taifa! Richmond! Dowans! Gesi ya Mtwara! Mchakato wa Katiba Mpya!
Kifo cha aibu alikufa Magufuli tuAtakufa kifo cha aibu sana huyu mpuuzi.