"hasipothibitiwa" ndio nini?Sana tu huyu mzee ni cancer kwenye taifa letu na hasipothibitiwa basi tunaendelea kuteseka kama mgonjwa wa cancer.
Kwa maono yangu naamini hata kama ikitokea tumemuondoa Samia pale juu, mathalani huyu mzee bado yupo active kwenye siasa za Tanzania basi matatizo yataendelea kama kawaida.
Huyu inatakiwa alale iwe kwa uchawi au dua au kwa sniping, kuondoka kwake ndio utakuwa mwanzo wa kuliponya taifa letu.
upo sahihiMkutano mkuu na mchakato wa katiba mpya ulifanyika chini ya uongozi wake.
Ni jambo moja tu ndilo lilivunja kikao na kuanzisha UKAWA.
Jambo hilo ni serikali tatu. Miliingia mtegoni kwa Lipumba akawaambia tuondokeni, mkaondoka.
Mngeipitisha rasimu, ikapigiwa kura na wananchi, leo tungekuwa na katiba mpya na mngeshiriki uchaguzi na kunadi sera zenu vizuri, labda mngechukua serikali au bunge.
Mlikuwa mnaenda vizuri tu, mkaanza mambo ya serikali tatu, who fucking cares!
Yaani mnapoteza tume huru, na nafasi za wanawake, na mambo mengine mazuri mliyokubaliana toka kwa wananchi kwa sababu ya serikali tatu?
Achaneni na viongozi vichaa, mjenge upinzani wa maana na wa kimkakati.
Msitupotezee muda nyingi mshapotea nobody cares for real. Hamna nguvu.
CCM hawakuwa tayari kwa Katiba Mpya! Isipokuwa kuendelea na Katiba yao mbovu ya mwaka 1977! Suala la serikali 3 lilikuwa ni pendekezo la Wananchi waliopiga kura za maoni! Na siyo UKAWA! Sasa ilikuwaje ccm walikataa, na badala yake wakata urejeshwe utaratibu wa serikali 2 ambazo zilikataliwa na Wananchi kutokana na kuwa na kero nyingi?Mkutano mkuu na mchakato wa katiba mpya ulifanyika chini ya uongozi wake.
Ni jambo moja tu ndilo lilivunja kikao na kuanzisha UKAWA.
Jambo hilo ni serikali tatu. Miliingia mtegoni kwa Lipumba akawaambia tuondokeni, mkaondoka.
Mngeipitisha rasimu, ikapigiwa kura na wananchi, leo tungekuwa na katiba mpya na mngeshiriki uchaguzi na kunadi sera zenu vizuri, labda mngechukua serikali au bunge.
Mlikuwa mnaenda vizuri tu, mkaanza mambo ya serikali tatu, who fucking cares!
Yaani mnapoteza tume huru, na nafasi za wanawake, na mambo mengine mazuri mliyokubaliana toka kwa wananchi kwa sababu ya serikali tatu?
Achaneni na viongozi vichaa, mjenge upinzani wa maana na wa kimkakati.
Msitupotezee muda nyingi mshapotea nobody cares for real. Hamna nguvu.
Rasimu ilikuwa na mambo mazuri yakiwemo hayo mnayotaka reforms leo lkn mkavuruga kisa serikali tatu.Acha kutukana hovyo na kujitoa ufahamu.
Rasimu ya Katiba mpya ilipendekeza mambo mengi ya msingi na yenye maslahi kwa nchi. Bahati mbaya yalipofikishwa kwenye bunge la Katiba, ccm wakayakataa yote na kutaka kuyaingiza masuala ya Katiba yao mbovu ya mwaka 1977!
Mfano walikataa mapendekezo ya wananchi ya uwepo wa serikali 3! Wao ccm wakataka Katiba ya sasa ya serikali 2 ndiyo iendelee, huku wananchi tukilalamika kika siku kutokana na mapungufu yake lukuki.
Sasa inakuwaje uwatukane wapinzani walioamua kusimamia mapendekezo yaliyotolewa na wananchi ya uwepo wa serikali 3, badala ya ccm waliotaka kuturudisha tulikotoka kwenye serikali 2 zilizojaa kero za kila aina?
😂😂😂😂😂Huenda hii ndio BRN aliyoimaanisha
Alimkata bila sababu? Ungemsikiliza Rostam wakati wa mazishi ya Lowassa, ndo ungeelewa jambo.Huyo kikwete ndiye aliyemkata Rafiki yake Lowassa na kumpendekeza Magufuli. Na ndiye kiongozi pekee aliyekuza demokrasia nchini
Mengine mnamezeshwa maneno tu. Sasa Richmond ilipoteza hela gani?Yataje yote hapa na yawe yana maslahi ya moja kwa moja kwa Taifa! Richmond! Dowans! Gesi ya Mtwara! Mchakato wa Katiba Mpya!
Jambo lipiAlimkata bila sababu? Ungemsikiliza Rostam wakati wa mazishi ya Lowassa, ndo ungeelewa jambo.
Kasikilize kuleJambo lipi
Ndie aliyeubariki na kuubatiza UFISADI Tanzania.Mzee wa hovyo sana huyo. Anakuumiza huku anatabasamu.
Binafsi sikumbuki ni lini huyu kiumbe aliwahi kufanya jambo lenye kutanguliza maslahi ya nchi! Nakumbuka mara zote aliangalia zaidi maslahi yake, ya familia yake, ya chama chake, au ya jamaa zake tu.
Wajumbe wote walishakubali kuhusu tume ya uchaguzi kuwa hurt na wabunge kuwa na kikomo.CCM hawakuwa tayari kwa Katiba Mpya! Isipokuwa kuendelea na Katiba yao mbovu ya mwaka 1977! Suala la serikali 3 lilikuwa ni pendekezo la Wananchi waliopiga kura za maoni! Na siyo UKAWA! Sasa ilikuwaje ccm walikataa, na badala yake wakata urejeshwe utaratibu wa serikali 2 ambazo zilikataliwa na Wananchi kutokana na kuwa na kero nyingi?
Kwa hiyo kuna uwezekanao mkubwa hata masuala mengine ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi, yangekataliwa/yanheondolewa na wajumbe wa ccm ambao hawakuwa tayari kuona nchi inapata mabadiliko ya kweli ya Katiba. Hivyo kuilaumu UKAWA pekee na kuwaacha ccm ambao ndiyo kiini cha matatizo kwa kuendekeza ubinafsi, bado siyo sahihi.
Kwanini wawe tayari wakati Katiba iliyopo imewaweka madarakani? Why change?CCM hawakuwa tayari kwa Katiba Mpya! Isipokuwa kuendelea na Katiba yao mbovu ya mwaka 1977! Suala la serikali 3 lilikuwa ni pendekezo la Wananchi waliopiga kura za maoni! Na siyo UKAWA! Sasa ilikuwaje ccm walikataa, na badala yake wakata urejeshwe utaratibu wa serikali 2 ambazo zilikataliwa na Wananchi kutokana na kuwa na kero nyingi?
Kwa hiyo kuna uwezekanao mkubwa hata masuala mengine ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi, yangekataliwa/yanheondolewa na wajumbe wa ccm ambao hawakuwa tayari kuona nchi inapata mabadiliko ya kweli ya Katiba. Hivyo kuilaumu UKAWA pekee na kuwaacha ccm ambao ndiyo kiini cha matatizo kwa kuendekeza ubinafsi, bado siyo sahihi.
Hapo lazima maua yake apewe, lakini ni wakati ulifika, kuna nyakati vitu vikifika huwezi zuia, kama sasa watu wameichoka sisiemu, hata wakiweza kuzuia tarehe 29, ila huyo mama hawezi maliza miaka mitano. Watu wameshachoka, Anguko la sisiemu liko mbioni, narudia tena miaka mitano hamaliziHuyo kikwete ndiye aliyemkata Rafiki yake Lowassa na kumpendekeza Magufuli. Na ndiye kiongozi pekee aliyekuza demokrasia nchini