Kinana kaduwaa haelewi kwanini kakubali kazi ya kumkapenia huyu jamaa, anamuaibisha
Naona una bidii kweli...Hata ufanyeje huyu mkwere wako habebeki!!!
akili hizi ndio anguko la upinzani nchini, hizi ndio issue mnazoweza ku discuss kwenye draft
Kuna waandishi wa habari na waandishi wa taarifa, natumai yeye ni mwandika taarifa.ahadi tamu, nzuri na zakupendeza. Mimi nimezipenda... Hivi kweli huyu ni mwandishi wa habari kweli au msoma matangazo?
Sijasikia Mwanahalisi, Raia Mwema wala Tanzania Daima