Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

channel zote nazokamata na dishi yangu zinaonesha hii mdahalo, hadi atn
kamati imefany kazi, wote mle ndani hawajavaa kijani wala njano ukiacha jk
mbona hamna shangwe?
audience mostly wazee wasiopenda na wanaoogopa mabadiliko
 
Bado anataka kuendelea kusaidiwa na wamarekani katika elimu dah
 
Maskini weee. kama kuna mtanzania anaona kikwete anasema point basi mmnnnh!!!
 
Jamani nimeshtukia kuwa JK yupo katika utaratibu wake wa kuhutbia Taifa kila mwisho wa mwezi ndo maana unaona TV zote zinaonyesha

Mods naomba mwongozo manake sitaki kufungiwa, ni neno gani mbadala wa CRAP naweza kutumia hapa?
 
Anajidai kuwa amefanikiwa kutembeza kopo kwa Bush atuletee walimu wa sayansi na kutuchapishia vitabu.
 
Tv za ccm, waalikwa wa ccm, maswali ya ccm, majibu kaandaliwa na ccm, mapambo ya ccm,wazee wa ccm, waandishi wa ccm, nyuso za kiccm.si wangeenda kizota kabisa!!! Duh! Kweli zidumu fikra za mwenyekitiiiiiii.
 
na nimekwisha waambia hao mods, nitawajibu wote wanao nitukana, na nitakuwa mstaarabu kwa wote wenye heshima zao.

come down sweetheart. Jus ignore wanaokutukana haina haja kutukanana.
 
Anasisitiza kuomba omba nje! nimeshindwa kula ananitia kichefuchefu tu
 

poor governance...hiyo ndiyo Africa yetu usikonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…