Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mweee...na kibonde yupo...halafu naona kama kuna waganga wengi wa kienyeji....au macho yangu
na nimekwisha waambia hao mods, nitawajibu wote wanao nitukana, na nitakuwa mstaarabu kwa wote wenye heshima zao.
haya sasa mafisadi wameomba kipindi ITV live ameanza kujibu maswali tayari
kwa kweli, mmehitimu kozi ya uzandiki, hata hilo hujalisikia?
Bado anataka kuendelea kusaidiwa na wamarekani katika elimu dah
mweee...na kibonde yupo...halafu naona kama kuna waganga wengi wa kienyeji....au macho yangu
na nimekwisha waambia hao mods, nitawajibu wote wanao nitukana, na nitakuwa mstaarabu kwa wote wenye heshima zao.
Hivi kwa nini haulizwi kwamba huko ni kukosa ethics kwa sababu yeye kama Executive ndiyo mshitaki mkuu hivyo hawezi hapo hapo kumnadi mtuhumiwa huyo kwa kusema kwamba achaguliwe kwani ni mtu safi? Anamdanganya nani?
Haulizwi nia ya kufanya hivyo ni kumfanya huyo mtuhumiwa ajisikie yuko kwenye right hands -- kwani JK aweza kuamrisha kufutwa kwa kesi, au kumsamehe iwapo atatiwa hatiani? All this is upside down, totally unethical and a show of very bad governance!! Maadili zero!!!
Huyu anafikiri Watz bado ni mbumbumbu leo?