Kikwete siyo safi! - yes I said it!

Kikwete siyo safi! - yes I said it!

hivi mtu intelijenti yukoje....? mbona hapa bongo wanasihasa wote wanapenda cip politiks.....?
 
Huu ni ukweli Mchungu lkn UKWELI ni lazima tuuseme huyu raisi SIYOintelligent man, hili unaliona kila kuanzia maongezi yake mpaka matendo yake, ana kitu wazungu wanaita cheap politics kama shijui kushiriki misiba, kutembelea wagonjwa mahospitalini, kupeleka wagonjwa nje ya nchi, kutembelea waliopata ajali n.k wakati Kiongozi Intelligent hapaswi kufanya hayo mambo bali kwa mfano kama watu wanakufa na ajali brni anapaswa kuchukua hatua za mara moja ili kupunguza vifo visivyo vya lazima, badala ya kusafirisha wagonjwa nje ya nchi anapaswa kutumia hizo fedha kuleta hiyo huduma hapa nyumbani...

Unachojaribu kusema ni kwamba watanzania wote wapuuzi, ukisema raisi si intelligent simply unawatukana waliomchagua.
 
Unaposema Watz wote Unamaanisha Nini? Kwani Kikwete alichaguliwa na 100% ya Watz? Wapo wengi ambao hawakumchagua, wengine hata kura hawakutaka kupiga, sasa hiyo idadi ya kusema Wote una maanisha nini?

Na NdiiiiiiYoooo waliompigia kura wote nao pia SIYO Intelligent kama waliyemchagua!
 
Hoja yako inamashiko kwa sababu tz ni nchi ya 9 kwa uwezo wa kufikiri duniani. Tusiaubiri miujiza, we had only one intelligent person LATE MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE
 
Huu ni ukweli Mchungu lkn UKWELI ni lazima tuuseme huyu raisi SIYOintelligent man, hili unaliona kila kuanzia maongezi yake mpaka matendo yake, ana kitu wazungu wanaita cheap politics kama shijui kushiriki misiba, kutembelea wagonjwa mahospitalini, kupeleka wagonjwa nje ya nchi, kutembelea waliopata ajali n.k wakati Kiongozi Intelligent hapaswi kufanya hayo mambo bali kwa mfano kama watu wanakufa na ajali brni anapaswa kuchukua hatua za mara moja ili kupunguza vifo visivyo vya lazima, badala ya kusafirisha wagonjwa nje ya nchi anapaswa kutumia hizo fedha kuleta hiyo huduma hapa nyumbani...
Ukisema kuwa JK si intelligent basi kuna unayemuona ni intelligent. Tuambie basi huyo ni nani
 
Unaposema Watz wote Unamaanisha Nini? Kwani Kikwete alichaguliwa na 100% ya Watz? Wapo wengi ambao hawakumchagua, wengine hata kura hawakutaka kupiga, sasa hiyo idadi ya kusema Wote una maanisha nini?

Na NdiiiiiiYoooo waliompigia kura wote nao pia SIYO Intelligent kama waliyemchagua!
Kwani wewe usiyemchagua umekuwa intelligent? Ma intelligent ni wale waliomchagua JK na akashinda. Nyie mliochagua galasa mmebaki kulia lia na kulalamika kwenye mitandao wakati wenzenu wanapeta kwa raha zao
 
Huu ni ukweli Mchungu lkn UKWELI ni lazima tuuseme huyu raisi SIYOintelligent man, hili unaliona kila kuanzia maongezi yake mpaka matendo yake, ana kitu wazungu wanaita cheap politics kama shijui kushiriki misiba, kutembelea wagonjwa mahospitalini, kupeleka wagonjwa nje ya nchi, kutembelea waliopata ajali n.k wakati Kiongozi Intelligent hapaswi kufanya hayo mambo bali kwa mfano kama watu wanakufa na ajali brni anapaswa kuchukua hatua za mara moja ili kupunguza vifo visivyo vya lazima, badala ya kusafirisha wagonjwa nje ya nchi anapaswa kutumia hizo fedha kuleta hiyo huduma hapa nyumbani...

We jamaa unashida kwenye mfumo wako wa ufahamu..yani ulitaka jk asiwajulie hali wagonjwa,asiende msibani ivi unadhani jk anafanya hayo yote baada ya kuwa rais??? Jk ni mtu muungwana na kujihusisha na maisha ya watu ni desturi yake...
 
Kwa asili ya JK uongozi hawauwezi wao ni wataalamu wa fitina
 
..tatizo ni waandamizi wake...mi namkubali sana naaaa
Kweli kabisa Mkuu. JK anakubalika kitaifa na kimataifa. Ni huyu huyu JK ambaye alipigiwa makofi na akina Mbowe kwa kumshangilia alipogusa mambo yao bungeni lakini wakamnunia baadaye alipowabadilikia. Kwa nini asiwe intelligent?
 
Kwa asili ya JK uongozi hawauwezi wao ni wataalamu wa fitina
Ila hili galasa lako linalopora wake za watu kila kukicha ndo linaweza uongozi? Familia tu imemshinda ataweza ukuu wa nchi?
 
We jamaa unashida kwenye mfumo wako wa ufahamu..yani ulitaka jk asiwajulie hali wagonjwa,asiende msibani ivi unadhani jk anafanya hayo yote baada ya kuwa rais??? Jk ni mtu muungwana na kujihusisha na maisha ya watu ni desturi yake...
Kavurugwa huyu Mkuu. Soon atapelekwa mirembe
 
kwa ujumla ccm imetufikisha mahali pabaya sana ingekuwa uwezo wangu ningewakusanya wote sehemu moja na ku wapiga risasi hawafai kabisa hawa wahuni na washenzi wakubwa ccm muda wa kutoka madarakani umeshakaribia ukawa ndo sumu ya kuuwa ccm na vibaraka wake wote kutokana maovu waliyofanya yapo mengi sana hata tukiandika huu ukurasa hatatosha kabisa ccm ni chama chakafu kimeshachoka
 
wakati anagombea mwaka 2005 nilimpigia kura lakini ktk uchaguzi wa mwaka 2010 nilimnyima kura yangu sb nilingundua ni msanii na hana lolote ushaidi ni kuwa jimbo langu ninapotoka la Rorya anaiacha kama alivyolikuta hakuna hospitali,maji na kuna njaa balaa!.pale Halmashauri ni genge la wezi tu na mbunge ndio misifa!eti anatumia pesa za jimbo kununua madawati kisha anaandika donated by 'LACAIRO'...anafikiri hizi ni enzi yz mwl!.
 
Kavurugwa huyu Mkuu. Soon atapelekwa mirembe

Duh..kweli jf imeingiliwa, hawa ndio mathink tanks wa chama, hivi hamuone kama nyie wenye hizi lugha za kipuuzi ndio mnaotuharibia chama? tangu lini hoja zikajibiwa kwa matusi?!!

Imetosha basi mnajivua nguo hapa na mnachafua uzi wa MM.
 
Daah hii nchi kuna msafi kweli? mbona naona kila mtu anakwiba alipo?
 
Back
Top Bottom