Kikwete siyo safi! - yes I said it!

Haya mambo bhana kumbe yametoka mbali aiseeeeeeeeeeee

2007 tayari iliishabainika pasina shaka yoyote kuwa tezi dume hafai. hii inamaanisha kama taifa tumetumia miaka kumi pasipo uongozi
 

Daah yaani hili bandiko kama yameandikwa jana kumbe ni miaka 7 iliyopita
 
Kweli lisemwalo lipo...Miaka 7 baadae tunakuja kuamini maneno yako mkuu... Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
Waafrika bwana! Yaani tumefikia kiwango cha kuwazawadia fedha viongozi wetu tunaoona wamefanya vizuri ktk utawala wao. Halafu akina Watson wakisema akili zetu finyu tunakuja juu. Mimi binafsi sioni umuhimu wa hiyo zawadi ya MO

Masikini Watson nahisi alikuwa sahihi
 

Asante kwa kusema Kama ulivyo na kuona mbali
 
Hoja yako inamashiko kwa sababu tz ni nchi ya 9 kwa uwezo wa kufikiri duniani. Tusiaubiri miujiza, we had only one intelligent person LATE MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE

There will be another like him people don't value intellectual property anymore our country is in the lapse of moral decay
 
Kweli tunazidi kuonyeshwa rangi zote. ..

Yaliyonenwa 2007, yamezidi kujidhihirisha 2014. ...
 

Mkuu salute!! Umeandika Pole pole fikra hizo za,,,, ukamalizia Tuweni na Subira. Hii maneno umeandika miaka saba iliyopita, uhalisia wake unaanza kuonekana hakika uliandika kwa mantiki ya juu Mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…