Kikwete siyo safi! - yes I said it!

Mkuu salute!! Umeandika Pole pole fikra hizo za,,,, ukamalizia Tuweni na Subira. Hii maneno umeandika miaka saba iliyopita, uhalisia wake unaanza kuonekana hakika uliandika kwa mantiki ya juu Mkuu!!

Aiseee.. mimi nilidhani imeandikwa jana lakini baada ya kuangalia headline nikaona 2007!!! Inauma sana Watanzania wenzetu wanatuleti dauni!
 
Kwa taifa hili lilivyo bado sana kufanya mabadiliko. Kwa hali ilivyo sasa CCM wamebakiza vipindi viwili tu vya kuingoza TZ. Nasema haya kwa sababu bado watanzania wengi wamelala ndo kwanza kibaridi cha asubuhi kimekolea. Kwa mtanzania yeyote mwenye akili timamu na mwenye uwezo wa kufikiri ni wazi atagundua kuwa CCM haifai tenda kuendelea kuongoza nchi hii.

Nchi ambayo inasifika kwa utajiri mkubwa duniani lakini ndo miongoni mwa nchi masikini duniani. Watanzania wengi tunapenda kuishi kwa matumain ndo maana mataifa yanayonufaika na utjiri wa Tanzania wanaandika tafiti zao wakidai tz kufikia mwaka 2025 itakuwa na uchumi wa kati. Hizi ni propaganda tu za kutufanya tujiamin wakati wao wananeemeka.

Haiwezekani nchi inayokumbatia mikataba mibovu ya uwekezaji, wala rushwa, mafisadi na watendaji walioigeuza nchi kuwa yao iongeze uchumi wake na kupata uchumi wa kati. Kuna kitu kingine wtz wengi wanakiona ila hawajakaa wakapata picha halisi. Hii nchi inaelekea kuwa ya kifalme yani utaratibu wa kurithishana uongozi.
 
Mimi nilionekana mjinga juzi nilipowaambia watu kuwa Kikwete ni bonge la msanii alipokuwa anahutubia wale wala wali wa bure (wazee) pamoja na taifa. Alikuwa anaongea ujinga ama pumba huku watu wanampigia makofi as if they forgot what he did in the past. Kikwete ni mwizi tena mkubwa sana, na inabidi yeye na Mkapa wote washitakiwe na wanyongwe kwa wizi wa umma. Lazima sheria ipitishwe ya kunyonga viongozi wezi waliopo madarakani na wale waliopita. Mkapa lazima afunguliwe kesi na kunyongwa hadharani.
 
hongera sana MM kwa kuona mbali!
labda niwaulize wanajamvi je hatuwezi kufuta kila kitu tukaanza na moja?


Mpaka Mkapa na Kikwete wakamatwe na kunyongwa pamoja na viongozi wale wezi waliopo madarakani hivi sasa na waliopita then ndipo tutaanza upya. People have to be hanged for real.
 

PAC kwa nini hamkutrack hii record ya jk naye atiwe kitanzi?
 
Daah yaani hili bandiko kama yameandikwa jana kumbe ni miaka 7 iliyopita
yaani wakati nasoma nilifika katikati ndo nikajua kuwa hili ni bandiko la mwaka 2007.. ikabidi nirudie kusoma tena...
mi nilijua Mzee Mwanakijiji anazungumzia ishu ya juzi ya escrow....
nakuheshimu sana MM, waliokuwa wanakutukana mwanzoni mwa hili bandiko wanaona aibu sana sasa hivi..
 
Last edited by a moderator:

Vp mkuu mpaka leo hii haujapata jibu kwamba huyu jamaa ni fisadi na hafai kuwa kiongozi.
 
Kufukua madudu ya zamani na ushahidi wa kuunga unga haitasaidia sana,hii habari tuliizungumza sana wakati huo JF ikiwa na hedhima yake au mnataka tusahau hoja iliyopo ni ESCROW? wezi wetu tumewakamata na ngozi ndio wa kung'ang'nia hadi pesa irudi kisha wafungwe segerea.
 
Lol...imenibidi nirudie tena kusoma..yaani uzi wa 2007 unaishi mpaka leo???

Hongera Mwanakijiji kwa kuona maonoo...tulilikuroga kuchagua sura wacha tulinywe tuu
 

ufisadi, ufisadi, ufisadi
 
mkuu Mzee Mwanakijiji asante sana kwa hii nondo.ni ya 2007,lakini hekima/maono yaliyomo ndani yake ni ya 2015 na miaka mingi ijayo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…