LUKAMA
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,117
- 1,343
aise ni uzi wazamani sana lakini bado unaishi ni miaka 10 sasa imepita katika historia ya maisha yangu sitasahau awamu ya 4 na mambo yake kilakitu ilikuwa ni deal haijalishi kiongozi mdg au mkubwa wote ilikuwa deal juu ya deal MUNGU LIFIKISHE TAIFA TUNAPO HITAJI KUFIKA sina chama sizani kama naweza kuwa na chama ila mapenzi ya Mungu yatimizwe future anaejua ni yy tu ila kipenda nikatafuta chama ila sio sasa baadaye sana MUNGU IBARIKI TZ