Kikwete siyo safi! - yes I said it!

Kikwete siyo safi! - yes I said it!

nazidiwa kete kila siku! sasa haitakuwa mara ya kwanza maana najua kutype zaidi kuliko mambo mengine.. so wenye fani yao hunizidi.. so I find comfort in my own twisted world of unlimited possibilities.. at least there, I can make things happen they way I want them happen in so many different ways.. so nyinyi endeleeni maana hata ombaomba naye hunyeshewa na mvua!
 
nazidiwa kete kila siku! sasa haitakuwa mara ya kwanza maana najua kutype zaidi kuliko mambo mengine.. so wenye fani yao hunizidi.. so I find comfort in my own twisted world of unlimited possibilities.. at least there, I can make things happen they way I want them happen in so many different ways.. so nyinyi endeleeni maana hata ombaomba naye hunyeshewa na mvua!

Sikiliza message kwenye simu yako maana inacheza muziki mpyaa kabisaaa utakaowekwa hapa JF karibuni! kuproduce muziki pia ni kazi unayoiweza kabisaa.
 
Mkjj,

ulituahidi kuiweka makala ya Tanzania daima hapa. Mbona bado hujaweka au ndio uzee unakujongelea hivyo!

BTW. Nimekuachia ujumbe kwenye simu yako coz damn!, you never pick your phone!

Naweza kucheka kidogo manake muda mwingi nakuwa nimekunja uso, ninaposoma post moja baada ya nyingine kuhusu ufisadi...LOL
 
utaelewaje wakati uko zuzu...?

Kama kawaida unaanza ku-step out of the line. ZUZU????? thats bad na huna mamlaka ya kumwita mwenzako zuzu!! kwanza who are you kuweza kusema hivyo..........ABSURD and PATHETIC of you!!.
 
Kama kawaida unaanza ku-step out of the line. ZUZU????? thats bad na huna mamlaka ya kumwita mwenzako zuzu!! kwanza who are you kuweza kusema hivyo..........ABSURD and PATHETIC of you!!.

na wewe huna mamlaka ya kuniambia sina mamlaka ya kumuita zuzu, zuzu...so kaa kimya kama hayakuhusu
 
Baada ya kutoka makala hii leo Jumatano, nimepata baadhi ya email zifuatazo:

Kutoka kwa 'Adamu'

Nduguyangu Mwanakijiji,

Umeifanya sikuyangu kuwa nzuri kupindukia kwa haya ulyoyasema.
Hata nikiandika pegi kumi za kukuelezea furaha yangu hazitoshi, ninachoweza kusema sasa basi tumechoka kama hasikii haya basi tumuondoe hatufai.
Aende na Lowasa wake wakachimbe hiyo dhabu.
Huyu bwana mimi ni nduguyangu kabisa lakini hata mimi nimemchoka kwa kufuga kwake waizi wa nchiyetu.
Asante sana endelea tunakuunga mkono nasisi pia tutasema kama anavyosema Butiku, na Dr. Bilal.
Kila la kheri.
Mwambile.

kutoka kwa "mwanakitongoji"

Jambo ndugu mwanakijiji,

Nakupongeza kwa kuwa moja ya wanaharakati au wazalendo wa Tanzania
unayechangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga uelewa wa wananci katika
masuala ya siasa hususan kujua haki na wajibu wao kama raia, uhuru wa
kikatiba na kadhalika.

Nisiwe na blaablaa sana. Naomba kama inawezekana (kama mtoa makala katika
gazeti) uzungumzie swala la viongozi ambao wamepewa dhamana ya kuliongoza
taifa hili lakini hawana huruma wala nidhamu kwa wananchi ambao ni binadamu
kama wao. Wamekuwa wabadhilifu, mafisadi wa kupindukia. Na tatizo hili
limekuwa institutionalised ndani ya goverment system ikianzia ndani ya chama
tawala. Kuwa institutionalised namaanisha kuwa ni kama desturi kuwa kiongozi
na ufisadi ni sawa na mwajiriwa na terms of employement! Mtu akishakuwa
kiongozi inakuwa ni kama wajibu wake kuharibu au kutumia vibaya kupindukia
lfisi na dhamana aliyopewa. Mzee Butiku jana alikuwa anasema kuwa Je
Tutafika kama viongozi wa sasa hivi ni kinyume na wale wa enzi za mwalimu
ambapo imekuwa ni kawaida kabisa kwa waziri au mbunge kuwa mfanyabiashara au
mwanahisa katika multinational companies? Huyu mtu si ni wazi kuwa atatumia
mwanya wowote katika ofisi yake ambayo ina dhamana ya wananchi kusaidia
biashara yake at the expence of the mwananchi?? Najua haya nayosemwa ni kama
marudio ya mambo ambayo yameshaandikwa sana, lakini binafsi nahisi haya
mambo hayata expire na hayatakiwi yawe hivyo. Ni muhimu sana tukatumia
mawasiliano ya magazeti na internet kuwaelimisha wananchi wengi iwezekanavyo
na kwa muda mrefu iwezekanavyo juu ya mambo haya ili wawe imara na tayari
kuiokoa nchi yao kwa njia iliyo sahihi. Ikumbukwe pia kuwa walio madarakani
au tuwaite MAKUWADI wa WEZI WA KIMATAIFA kama alivowaita mzee Butiku jana
hawapati usingizi na wanakuna vichwa kujua watapambana vipi na juhudu za
raia na wanaharakati wa sasa ambao wanawaandama tena wamewashika pabaya. Kwa
kuwa hawa makuwadi wana nyenzo aka ofisi za serikali wanaweza kuja na hoja
za harakaharaka zisizo na ukweli wala maana yoyote kuwalaghai wananchi wa
Tanzania ambao masikini wa mungu wengi wao hawajajaliwa exposure au
awareness. Hivyo unaweza kuona ni umuhimu ulio mkubwa sana kwa hizi harakati
za vyombo makini vya habari na wanasiasa wapinzani na hata walio ndani ya
CCM ambao wana maslahi na Taifa kuwaelimisha wananchi kila kukicha ili
wazibuke masikio na akili na kisha wachangie katika kufagia hawa
Makuwadi/mafisadi kutoka katika uongozi. Itawezekana tu. Njia ni kuendelea
kusema na kusema hadi masikio yatoke ukoko wa nta iliyowekwa na CCM kupitia
viongozi wake mafisadi.

Kwanini nimeamua kukuandikia? Ninasoma Tanzania Daima la leo hapa na kabla
ya kulimaliza tayari nimepata jazba (nadhani nina weakness ya jazba)!!
Tendwa na Makamba wametosha kabisa kunifanya nikuandikie hii email. Eti
Tendwa anasema wabunge wa upinzani waende majimboni wanahitajika na wananchi
na waachane na mambo ya kuhubiri ufisadi na kupaka wenzao matope. Unajua mtu
wa namna hii kama mnakaa jirani unaweza mvizia ukamtwanga hata jiwe la
manati akiwa anajinyoosha kibarazani kwake?? Ana mapoenzi au huruma na
wananchi wanaosota kweli?? Hawa wapinzani wameanzisha mwamko na wamechangia
sana tena sana katika juhudi za creation of awareness kwa wananchi wengi
ambao walikuwa wamepuliziwa dawa ya usingizi au chloroform ili waibiwe na
hawa mabazazi? Eti anadai kuwa habari zinazoandikwa juu ya Ufisadi ni muhimu
lakini zimeshatosha kwani zinaboa tayari!! Haya Makamba nae anaibuka na
kufananisha wala rushwa ndani ya ccm sawa na waumini wa dhehebu flani wasio
tekeleza jukumu la uumini kwa mfano labda padri anayetembea na mke wa mtu
n.k. Hawa wanataka kutumia udhaifu wa wananchi wengi ambao ni rahisi
kurubuniwa na maneno mabovu ya kisiasa kama haya kujiosha. Kimsingi ni kuwa
Tendwa, Makamba na viongozi wenzao ni wabovu kupindukia tena sana na
hawapaswi hata kusikilizwa kwenye mihadhara yeyote kwa kuwa hawajawahi
kutetea taifa kwa namna yeyote zaidi ya kutetea chama tawala. Wananchi
wanakula chama? Kama hawa watu wangekuwa ni waadilifu na wangetaka
waheshimiwe wasingethubutu hata kidogo kuwasanifu wananchi kwa kiasi kikubwa
namna hiyo!! Watu wanataabika, wanavumilia kuliko punda la mizigo linalokaa
umasaini, kule dryland areas, likichapwa bakora na kubebeshwa mizigo mwendo
mrefu bila hata kunyweshwa maji lakini linaenda tu lifanyeje, halioni hata
kama linaweza kumgeuzia kibao anayelipiga kwa kumfurumusha mbio na kumtwanga
vichwa na mateke. Fine, that is ok si njia sahihi kujibu kwa kumpiga. Njia
sahihi ni kwa yule mwenye punda kutompiga punda bila sababu.

Mheshimiwa Mwanakijiji mimi nimekuandikia haya kwa sababu mimi siwezi yatoa
gazetini na sina access wala experience ya kufanya hivyo. Pia uandishi ni
kazi kwani nadhani pia siwezi andika kwa mtitiriko mzuri kama wewe. Pia
nadhani Una blog, so unaweza kuitupa hii ndani ikawafikia wengi, japo labda
utatakiwa kuedit. Kimsingi elewa kuwa imformation is power na tuendelee
kuelezana na kuelezea uma mpana iwezekanavyo kwani hii ni silaha nzuri sana
kwa hawa Makuwadi.

Wasalaam,

Mwanakitongoji!!!

na kutoka kwa "Daniel"

Nakupa pongezi kwa kuwa jasili kwa kuweka wazi juu ya uchafu wa tuliyemzania kuwa ni mtu safi yaani Kikwete, tulimchagua kwa imani kubwa lakini ametugeuka. Alituahidi kuwa atapambana na rushwa na ufisadi na kuleta maisha bora kwa kila mtanzania kumbe ni sawa na kumuweka panya kwenye gunia la mpunga.

Nakupa moyo uendelee kufichua kila uchafu kwa mustakabali wa Taifa letu na watu wake, hatimaye siku moja hizi zinazoitwa kelele zitawaza kufanya mafisi wakatema maboge ya nyama nono za ufisadi kutoka ktk vinywa vyao na hivyo kuleta unafuu wa maisha kwa Watanzania.

Mungu akubaliki upate afya njema ili uweze kuandika zaidi
 
na wewe huna mamlaka ya kuniambia sina mamlaka ya kumuita zuzu, zuzu...so kaa kimya kama hayakuhusu

Maaan, its not about that........say what you say lakini sio kufanya classification za namna hiyo, kuna possibility hujui maana ya ZUZU. FYI ni neno baya!!!!!!!!!.
 
Ngabu,
Sina muda na hizo cheap slants, naenda kulala kwani baadae kuna "shock and awe" @ Fenway Park in the old Backbay neighborhood of the GREATEST Beantown. Kama Huna habari ni game one of world series kati ya the beloved REDSOX of New England na Rockies of colorado. Peace!.......Join the part on your local sports channel at 8.30 EST, your welcome!!!!!. GO REDSOX.
 
..hivi,kile kiwanda cha vigae kule dodoma bado kipo?

Thats another one,Great!!!!!!!. Halafu mkiwekwa kwenye orodha ya mafisadi mnalalamika, kuna tofauti gani kati ya wewe na karamagi?? una qoute neno moja kati ya maneno 20, ili maradi tu uweze ku-smear jina la mtu mwingine.............utawapata ma-zuzu wa kweli. JF daima!!!!.
 
Back
Top Bottom