PreGE2025 Kikwete: Uchaguzi usiwe chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa vitendo na kuhakikisha kuwa amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa vinaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinachoelekea uchaguzi.

Akizungumza Mei 25, 2025 katika Harambee ya ukamilishaji wa ujenzi wa Kanisa la Mtakatifu Peter, Dayosisi ya Bunda mkoani Mara, Dkt. Kikwete alieleza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha uchaguzi hauwi chanzo cha migawanyiko, machafuko au hatari kwa usalama wa taifa, bali uwe fursa ya kuimarisha umoja na utulivu wa nchi.

Katika harambee hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Bunda, Dkt. Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi, alitangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alichangia shilingi milioni 50 kwa ajili ya kuezekea paa la kanisa hilo, na kwamba yeye pamoja na marafiki zake waliongeza milioni 20 kukamilisha lengo la milioni 70.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jumla ya zaidi ya shilingi milioni 275 zilipatikana katika harambee hiyo — fedha taslimu zikiwa milioni 75, na ahadi ni milioni 200. Dkt. Kikwete aliwapongeza viongozi wa serikali na taasisi mbalimbali kwa ushirikiano wao mkubwa, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi, Mwenyekiti wa CCM Patrick Chandi, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini pamoja na baadhi ya wabunge wa mkoa huo.

Maneno haya siyo mageni mjini, kisingizio amani
 
Hiki kisingizio cha amani wakipumzishe kwanza.haki ndio tunayoitaka
 
kuhusu kutekana kikwete haoni? hawezi kushauri au anaogopa?
 
Muone huyu naye, nani anataka uchaguzi? Badala ya kuongelea watu kuuwawa kama kuku yeye anawaza madaraka tu. Nilikuwa namheshimu lakini hapa kachemsha. Watu tunaogopa hali iliyopo yeye anawaza uchaguzi. Kwani nani anavuruga amani kama si utekaji unaoendelea. Sisi Hatukuamini. Tunamini mzee Warioba na Butiku tu ambao wana mawazo yasiyopendelea upande wowote.
 
Kuna uchaguzi kweli bila no Reforms No Election
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa vitendo na kuhakikisha kuwa amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa vinaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinachoelekea uchaguzi.

Akizungumza Mei 25, 2025 katika Harambee ya ukamilishaji wa ujenzi wa Kanisa la Mtakatifu Peter, Dayosisi ya Bunda mkoani Mara, Dkt. Kikwete alieleza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha uchaguzi hauwi chanzo cha migawanyiko, machafuko au hatari kwa usalama wa taifa, bali uwe fursa ya kuimarisha umoja na utulivu wa nchi.

Katika harambee hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Bunda, Dkt. Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi, alitangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alichangia shilingi milioni 50 kwa ajili ya kuezekea paa la kanisa hilo, na kwamba yeye pamoja na marafiki zake waliongeza milioni 20 kukamilisha lengo la milioni 70.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jumla ya zaidi ya shilingi milioni 275 zilipatikana katika harambee hiyo — fedha taslimu zikiwa milioni 75, na ahadi ni milioni 200. Dkt. Kikwete aliwapongeza viongozi wa serikali na taasisi mbalimbali kwa ushirikiano wao mkubwa, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi, Mwenyekiti wa CCM Patrick Chandi, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini pamoja na baadhi ya wabunge wa mkoa huo.

Ameitwa kwa Harambee ya Kanisa, alichopaswa kusema ni maneno ya Mungu
Kikwete kaingiza uchaguzi jambo la siasa, hatusikii watu wakisema tusichanganye dini na siasa

Warioba akiongea anasema akamuone Rais , yeye yupo makanisani akihubiri siasa!

JK ni failure ameshindwa kuvaa viatu vya statesman wa nchi

Mzee Warioba na Butiku ndio waliobaki! Mungu awalinde maana sioni tena!

JokaKuu
 
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa vitendo na kuhakikisha kuwa amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa vinaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinachoelekea uchaguzi.

Akizungumza Mei 25, 2025 katika Harambee ya ukamilishaji wa ujenzi wa Kanisa la Mtakatifu Peter, Dayosisi ya Bunda mkoani Mara, Dkt. Kikwete alieleza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha uchaguzi hauwi chanzo cha migawanyiko, machafuko au hatari kwa usalama wa taifa, bali uwe fursa ya kuimarisha umoja na utulivu wa nchi.

Katika harambee hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Bunda, Dkt. Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi, alitangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alichangia shilingi milioni 50 kwa ajili ya kuezekea paa la kanisa hilo, na kwamba yeye pamoja na marafiki zake waliongeza milioni 20 kukamilisha lengo la milioni 70.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jumla ya zaidi ya shilingi milioni 275 zilipatikana katika harambee hiyo — fedha taslimu zikiwa milioni 75, na ahadi ni milioni 200. Dkt. Kikwete aliwapongeza viongozi wa serikali na taasisi mbalimbali kwa ushirikiano wao mkubwa, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi, Mwenyekiti wa CCM Patrick Chandi, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini pamoja na baadhi ya wabunge wa mkoa huo.

Huyu naye ale kimya kimya. Wakati wa Magufuli alikua anapiga vijembe mpaka akaambiwa anawashwa washwa
 
Back
Top Bottom