Kwa hali nchi ilipo, halafu mtu anatoa kauli ya kipuuzi namna hiyo, kwa kweli ni unafiki wa hali ya juu.
Angekuwa na hekima japo kidogo angewaeleza watanzania amefanya nini mpaka sasa kuhakikisha huu ushetani unaofanywa na kikundi cha utekaji na mauaji, cha Samia, unatoweka.
Mzee mwenye hekima amebakia mzee Warioba pekee. Yeye alieleza jitihada alizozifanya kutaka uchaguzi uwe jumhishi, huru na wa haki, lakini kizingiti kikawa tume ya samia ya uchaguzi.