PreGE2025 Kikwete: Uchaguzi usiwe chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hali nchi ilipo, halafu mtu anatoa kauli ya kipuuzi namna hiyo, kwa kweli ni unafiki wa hali ya juu.


Angekuwa na hekima japo kidogo angewaeleza watanzania amefanya nini mpaka sasa kuhakikisha huu ushetani unaofanywa na kikundi cha utekaji na mauaji, cha Samia, unatoweka.

Mzee mwenye hekima amebakia mzee Warioba pekee. Yeye alieleza jitihada alizozifanya kutaka uchaguzi uwe jumhishi, huru na wa haki, lakini kizingiti kikawa tume ya samia ya uchaguzi.
 
Uchaguzu upi wakati ameshachagua Rais bila utaratibu, ni hovyo kabisa
 

Mzee wa Hovyo kabisa.


Biblia Takatifu:

Mhubiri 4 : 13
Heri kijana maskini mwenye hekima
Kuliko mfalme mzee mpumbavu,
ambaye hajui tena kupokea maonyo.
 
Maneno haya ni mazuri lkn yamekuja kwa kuchelewa tena sana, tayali tumekwishaparaganyika kitambo, watu wanakamatwa na kuwekwa magerezani bila kuzingatia sheria, mihemuko ndio imetawala, kila kitu ni bluu bluu tu, watu wanauuwawa kirahisi tu na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa, alamsiki amani
 
Hii amani mnayoitangaza huku mnateka watanzania na kuwaua hatuitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…