Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
Elements za unafikiMwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo"
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo"
View attachment 3456340Mbona haifunguki
Tell that hctibafonos to shut up!Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo"
Kweli nilikuwa nimesahauu, ndiyo waswahili ni walaghai, waongo, wanafiki, viherehere, wanatamaa. Sifa nyingine malizia na weweUnawajua Waswahili wewe?
Episode ll walifuta chap na lll haikuchukua roundMimi mbona sizioni?
Sawa sawa cancer ya TanzaniaMwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo"
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo"
Mkuu kama hutajali naomba nisome...Episode lll wamesha ifuta, aliandika britanicca kwa kimombo, lakini wajuba tulisha inyonya nakala...🤣
Polepole atafanya nini wakati anaongea amejificha anaishi kama digidigiIla huyu mzee 😹
Bora angenyamaza tu..!!
Wacha tumsubiri Polepole amjibu.
episod ya 3 ilihusu niniEpisode ll walifuta chap na lll haikuchukua round
Utamfanya nini? Na akitoka hapo anakwea pipa mamtoni.Huyu jamaa anaongea kwa kiburi sana
Nikutumie ya ll ama ya lll...??Mkuu kama hutajali naomba nisome...
Kama unazo zote mbili poa tu mkuu!Nikutumie ya ll ama ya lll...??
Siwezi kuelezea hapa mkuu, watafuta...🤣episod ya 3 ilihusu nini