Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Yaani tumefanya kampeni kwa miaka mitano pekee yetu,lakini Sasa tumetapakaa nchi nzima kuwashawishi watu hao hao ,I think there is something wrong with our party.sasa siku mkizuiwa kufanya shughuli zetu za kiccm hata mwaka mmoja si ndo chama kitakufa kabisaCcm imetapakaa nchi zima tunafanya kampeni ili tushinde kwa kishindo kikubwa sana. Siwashagai cdm kufanya mkutano mmoja kwa siku, watu wenye mvuto hakuna.