Kanyigoboy
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 529
- 1,316
Ni aibu mkuu watu wapo 20 tu na dj waoMbona picha za juu hazipo? Tunataka kuona nyomi sio wapiga kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu mkuu watu wapo 20 tu na dj waoMbona picha za juu hazipo? Tunataka kuona nyomi sio wapiga kura
Ccm imetapakaa nchi zima tunafanya kampeni ili tushinde kwa kishindo kikubwa sana. Siwashagai cdm kufanya mkutano mmoja kwa siku, watu wenye mvuto hakuna.
Kibaya cha jitembeza,Nani azuie ccm kufanya shughuli zake za kisiasa?. Tusipofanya kampeni harafu tukashinda urais na viti vingi vya ubunge na udiwani mtapata vimaneno ya kuwadanganya wanatanzania.
Tumetapakaa nchi nzima. Kwa siku Magufuli pekee yake anafanya mikutano karibia 12 mpaka 15. Hapo bado mama Samia na waziri mkuu. Ninyi wenzetu kamkutano kamoja kwa siku.
Najijua sana Mkuu ndiyo maana nimejenga hiyo hoja kuwa hakuna amani bila haki.Hujui na hujijui. Unafikiri kukariri Amani na Haki ndiyo msahafu? Amani inaweza patikana kwa mlango mwingine.
Mzee Mwinyi naye akisamama kwa dakika tatu tu pale Zanzibar, atakuwa ameua hoja zote za Sheriff Hamad, kwani ni Mwinyi ndiye aliyemleta Hamad kwenye ulingo wa siasa kwa kumfanya Waziri Kiongozi mwaka ule wa 1983 kushika nafasi iliyokuwa imeshikiliwa na Brigadier Ramadhan Haji Fakhi (Wakati huo alikuwa akiitwa Ndugu Ramadhan Haji Fakhi, hakuwahi kutumia title yake ya kijeshi kwenye siasa).Ccm imetapakaa nchi zima tunafanya kampeni ili tushinde kwa kishindo kikubwa sanaa.
Siwashagai cdm kufanya mkutano mmoja kwa siku, watu wenye mvuto hakuna.
Asante Sana mwalimu wangu wa somo la haki. Umekuwa mkali sana labda ndiyo maana sijakuelewa vizuri hata sasa, umenichanganyia na kiingereza humo basi imekuwa tafrani tupu.Una uhakika gani hii ni haki? Tena ya kwako? Ukitambua kuwa huna uhakika, ni mwanzo wa kujua hata unayosema ni haki yako ya wezekana siyo haki yako umeelezwa kuwa hii ni haki yako ( kama ilivyo nguo ya kuazimwa haisitili matako)
Kitu kinacho itwa amani hakitokani na prescritions , siku prescritions zikibadilika amani inabadilika.
Sasa utapata wapi amani ya kweli?
Buasara hizihizi za Kikwete ndio zilitupatia Magufuli.
Aishi uzee mwema
Kumbe wa kusini wana gesi yaoAnatuletea mambo ya historia hapa hatujasahau alivyotuma jeshi kwenda kuchukua gesi ya watu wa kusini huku akila 10% ya ujenzi wa bomba la gesi.
Huyu ndiye wa kumwamini? Tapeli.
Kala kashiba kavimbewa Sasa anacheua moja ya waasisi wa wizi na ufisadi mkubwa unaendelea mpaka leo nchini.
Kuna mambo huwa yananichanga sana yaani sanaaUkubwa dawa kichwa adimu!