Yaani tumefanya kampeni kwa miaka mitano pekee yetu,lakini Sasa tumetapakaa nchi nzima kuwashawishi watu hao hao ,I think there is something wrong with our party.sasa siku mkizuiwa kufanya shughuli zetu za kiccm hata mwaka mmoja si ndo chama kitakufa kabisaCcm imetapakaa nchi zima tunafanya kampeni ili tushinde kwa kishindo kikubwa sana. Siwashagai cdm kufanya mkutano mmoja kwa siku, watu wenye mvuto hakuna.
Mji wa kihistoria huu.Lindi ilipokuwa Lindi kwa mujibu wa wazee wanasimulia uchumi ulikuwa umechangamka na mpangilio wa mji ni uthibitisho tosha makao makuu ya mkoa Lindi shughuli za biashara na kilimo kilichangia muonekano huu
Kusoma hujui hata picha huoni?Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo hawaijui mikoa hiyo na waongo...
Huyu aliwahi kutudanganya ataleta maisha bora kwa kila mtanzania, matokeo yake akaishi angani kwa miaka 5 akila bata!
Chadema mnatapatap nyie kila mtu ni adui wenu.Anatuletea mambo ya historia hapa hatujasahau alivyotuma jeshi kwenda kuchukua gesi ya watu wa kusini huku akila 10% ya ujenzi wa bomba la gesi
Huyu ndiye wa kumwamini? Tapeli
Kala kashiba kavimbewa Sasa anacheua moja ya waasisi wa wizi na ufisadi mkubwa unaendelea mpaka leo nchini.
Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo hawaijui mikoa hiyo na waongo...
Huyu mzee angetulia ingempa heshima zaidi kuliko ambavyo anajitokeza kwenye kampeni.Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo hawaijui mikoa hiyo na waongo...
Mwenye nacho huongezewa kingine ila asiye nacho hupokonywa hata kile kidogo alichonacho/ alichobakiza.Kampeni ili mke wake apate ubunge ni mambo ya aibu
Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo hawaijui mikoa hiyo na waongo...
Nani azuie ccm kufanya shughuli zake za kisiasa? Tusipofanya kampeni harafu tukashinda urais na viti vingi vya ubunge na udiwani mtapata vimaneno ya kuwadanganya wanatanzania.Yaani tumefanya kampeni kwa miaka mitano pekee yetu,lakini Sasa tumetapakaa nchi nzima kuwashawishi watu hao hao ,I think there is something wrong with our party.sasa siku mkizuiwa kufanya shughuli zetu za kiccm hata mwaka mmoja si ndo chama kitakufa kabisa
Mbona sioni akimtaja mpiga deki wa malaika popote, au kaona kilaza!Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo hawaijui mikoa hiyo na waongo...
CCM basi.Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo hawaijui mikoa hiyo na waongo...