Mkuu tumia akili pia katika kufikiri, Ziwa Nyasa limepakana na nchi tatu, kama Tanzania na Malawi watachukua nusu kwa nusu, Msumbiji nao watachukua nini?
Source ni BBC au Nyasatimes?Hebu tunaomba utuwekee link mkuu tukashuhudie wenyewe maana nakuwa mgumu kidogo kuiamini hii post!Samahani lakini.
Hii ni aibu unless iwe imepikwa....
Malawi watatuona ni dhaifu maana dalili zinaonesha walishaanza kuogopeshwa na kauli za vita.
swali zuri sana mkuu
Tanzania inapata karibu nusu ya Ziwa victoria, Uganda zaidi ya robo, Kenya chini ya robo ya eneo lote la ziwa.Hv mgawanyo wa lake Victoria upo vipi mkuu?
Umesomeka mkuu Concrete, kejeli ndo majibu yako. Akili yako ingefanya kazi angalau kidooooogo, ingekuelekeza kujua kuwa hatupakani na nchi zaidi ya moja kwa upande mmoja. Hata hivyo sishangai kwa kuwa wewe ni miongoni mwa waliofaulu mitihani kwa mtiririko huu wa maswali na majibu.
1) siasa ni. . . . . . . . . . . .
kilimo.
2) chifu wa wazanaki anaitwa. . . . . . . . . . .
wanzagi.
kama hii habari ni ya kweli sasa nimeamini kuwa Jk naye ni empty head chap! ni kiongozi yupi wa upinzani hata mmoja aliyewahi kuchochea vita na malawi? halafu anaposema katu hatutapigana na malawi maana yake hata wakiingia ndani ya mipaka yetu tutawaacha tu? hiyo kweli ni kauli ya amiri jeshi mkuu,? sikuwa naamini tuna amiri jeshi mkuu muoga! kidiplomasia alitakiwa kusema Tanzania haikusudii wala haina mpango wa vita na Malawi au Jirani yoyote ila ni jukumu lake kama rais na amiri jeshi mkuu kulinda mipaka ya nchi na raia wake! hiyo ingepeleka ujumbe tosha kuwa sio kwa malawi tu ila jirani mwingine yeyote akituchokoza hatutakaa kimya!
SHIMBO ni mwizi aliyekubuhu...na Lowassa kumbe ni Upinzani? LnL
Mkuu hakuna ubishi wala ushindani bali ukweli.uzuri wa hilo swali ni rangi yake ama nnini?
Unamaana msumbiji iko juu ya malawi kiasi kwamba tunapakana nazo kwa upande mmoja!!! Werema utamjua tu! Hawezi dadavua mantiki ya hoja.
Hv mgawanyo wa lake Victoria upo vipi mkuu?
Kweli Malawi wanatisha kijeshi na wanahoja zenye nguvu.
Rais wetu kaingiwa na woga mkubwa sana baada ya kuelezwa facts na Wamalawi.
Na baada ya kugundua nchi yetu haina jeshi bali kikundi cha walevi wanaojua kucheza gwaride na kufyeka nyasi tu, ina mabomu mabovu mabovu yaliyo-expire na kulipuka ovyoovyo, sasa kanywea na kuchanganyikiwa hivyo kuanza kuropoka ovyo.
Mkuu unamaanisha pwani ya ziwa Nyasa au....Kwa kauli za Jk sitashangaa Wamalawi wakiendelea na kutafuta mafuta Pwani ya Tanganyika
Speaking to journalists after a closed discussion with the Malawi President Mrs Joyce Banda in Maputo, Mozambique, the Tanzanian leader said the war mongering comments were coming from overzealous opposition parties in his country who want to score political mileage over the issue.
Mimi ninaamini rais wangu amepitiwa tu, mchakamchaka wa M4C unampa stress sana,Wapinzani anaowaongelea ni kina nani? Kina Lowassa? Mende oh sorry Membe? Sitta? Hatuna kiongozi kama kauli ndo hii!!!!