Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #21
Mimi kwa sasa hivi mambo yangu sio mabaya sana ila ninahofu kubwa na siku zijazo
Nina wake wawili sijui itakiwaje siku zijazo
Kwa sasa haijakuathiri kabisa?Binafsi nahofia sana siku zijazo baada ya Corona kupita na maisha ya kawaida kurejea.
Clients wanazidi kupukutika.Kwa sasa haijakuathiri kabisa?
Dah mjini shule.
Mimi mwenyewe hili la kufanga vyuo limeniathiri vibaya mno.35% ya kipato changu imeondoka, 65% iliyobaki sina uhakika nayo.
Namuomba Mungu shule zifunguliwe.
Usione watu wanaponda kubet mkuu.tunaishi maisha laini sana kupitia huu mchezo.na huu ukosefu wa ajira acha tu.huwa tunashangaa mtu anauliza nna laki tatu nifungue biashara gani?[emoji23][emoji23]Dah mjini shule
Bado unachukua mzigo milimani?Mimi nlikuwa napiga dili na wachina na wahindi
Mpk Sasa mamvo yamesimama!
Naishi kwa uzoefu na ujanjaujanja tu sahvi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kama kawaBado unachukua mzigo milimani?
nakutamania mno basi tu najipanga panga hapa.
wacha nizisanye nitakutafuta mkuu
Hatimaye Kajunjumele inatoa mbunge mwaka huuHahahaaaaa.........mzee wa degree 2!