Angalia kwenye pichaVenezuela ngapi?
Mtatapatapa sana, lakini CCM is a spent force!Wazungu hawakuanza leo kuzitaka rasilimali zetu. Wakati wa kutafuta uhuru kuna watu wetu walitumiwa na wakoloni kuzuia tusipate uhuru. Hata baada ya kupata uhuru kuna watu walitumiwa na wakoloni kupora uhuru na rasilimali zetu. Watu hawa wanaona viongozi wanakosea kwenye kila kitu, eti wao kwa msaada wa wazungu watafanya vizuri kama wakiongoza nchi.
Wajinga kabisa, Afrika kuna nchi gani ambayo iko vizuri kwakuwa viongozi wao wako karibu na wakoloni? Kuna viongozi ambao walikuwa karibu na wakoloni kama Mobutu, Kamuzu Banda na Jomo Kenyata?. Je, nchi zao leo zina afadhali gani kimaendeleo?
Hapa kwetu wakina Kambona na Mtei nao walikuwa wanampinga Nyerere kwa kukataa sera za wakoloni. Sasa hivi tunao wahuni wanaopinga namna taifa linavyoendeshwa, eti wako nyuma ya wazungu.
Hatudanganyiiiikiiii.
Utoto 🚮🚮Tunajua kila kitu, na vijana wetu tumewasomesha sana nchi mbalimbali mbinu za kuilinda nchi yao. Hamfui dafu.
Hizo propaganda za kila anae kosowa CCM anafadhiliwa na wazungu ili wapate resources zetu ni propaganda zilio pita na wakati, Watanzania walishaamuka usingizini huwezi kuwarudisha huko tena.Wazungu hawakuanza leo kuzitaka rasilimali zetu. Wakati wa kutafuta uhuru kuna watu wetu walitumiwa na wakoloni kuzuia tusipate uhuru. Hata baada ya kupata uhuru kuna watu walitumiwa na wakoloni kupora uhuru na rasilimali zetu. Watu hawa wanaona viongozi wanakosea kwenye kila kitu, eti wao kwa msaada wa wazungu watafanya vizuri kama wakiongoza nchi.
Wajinga kabisa, Afrika kuna nchi gani ambayo iko vizuri kwakuwa viongozi wao wako karibu na wakoloni? Kuna viongozi ambao walikuwa karibu na wakoloni kama Mobutu, Kamuzu Banda na Jomo Kenyata?. Je, nchi zao leo zina afadhali gani kimaendeleo?
Hapa kwetu wakina Kambona na Mtei nao walikuwa wanampinga Nyerere kwa kukataa sera za wakoloni. Sasa hivi tunao wahuni wanaopinga namna taifa linavyoendeshwa, eti wako nyuma ya wazungu.
Hatudanganyiiiikiiii.
CCM ndiyo iko madarakani tangu tupate Uhuru na serikali hii ya CCM ndiyo iliyoingia mikataba ya kimangungo na kusababisha hao mabeberu kujichotea rasilimali zetu ubwete leo unasimamisha kisimi na kulaumu watu ambao hawajawahi kushika dola. Hizi mada zako za kimalaya shirikisha majuha wenzio huko CCM na Bakwata.Wazungu hawakuanza leo kuzitaka rasilimali zetu. Wakati wa kutafuta uhuru kuna watu wetu walitumiwa na wakoloni kuzuia tusipate uhuru. Hata baada ya kupata uhuru kuna watu walitumiwa na wakoloni kupora uhuru na rasilimali zetu. Watu hawa wanaona viongozi wanakosea kwenye kila kitu, Wewe
eti wao kwa msaada wa wazungu watafanya vizuri kama wakiongoza nchi.
Wajinga kabisa, Afrika kuna nchi gani ambayo iko vizuri kwakuwa viongozi wao wako karibu na wakoloni? Kuna viongozi ambao walikuwa karibu na wakoloni kama Mobutu, Kamuzu Banda na Jomo Kenyata?. Je, nchi zao leo zina afadhali gani kimaendeleo?
Hapa kwetu wakina Kambona na Mtei nao walikuwa wanampinga Nyerere kwa kukataa sera za wakoloni. Sasa hivi tunao wahuni wanaopinga namna taifa linavyoendeshwa, eti wako nyuma ya wazungu.
Hatudanganyiiiikiiii.
Hebu muulize huyu kibaka Kavulata kuwa kwani hivi sasa hao mabeberu hawachoti hizo mali zetu na jee ni Chadema ndiyo wanaingia hiyo mikataba ya kimangungo?Hizo propaganda za kila anae kosowa CCM anafadhiliwa na wazungu ili wapate resources zetu ni propaganda zilio pita na wakati, Watanzania walishaamuka usingizini huwezi kuwarudisha huko tena.
Watanzania ni masikini hizo resources zinasaidia wakina nani? Siku zote hizo.
Na huu ndo upeo wangu, nitoke namna ganiWazungu hawakuanza leo kuzitaka rasilimali zetu. Wakati wa kutafuta uhuru kuna watu wetu walitumiwa na wakoloni kuzuia tusipate uhuru. Hata baada ya kupata uhuru kuna watu walitumiwa na wakoloni kupora uhuru na rasilimali zetu. Watu hawa wanaona viongozi wanakosea kwenye kila kitu, eti wao kwa msaada wa wazungu watafanya vizuri kama wakiongoza nchi.
Wajinga kabisa, Afrika kuna nchi gani ambayo iko vizuri kwakuwa viongozi wao wako karibu na wakoloni? Kuna viongozi ambao walikuwa karibu na wakoloni kama Mobutu, Kamuzu Banda na Jomo Kenyata?. Je, nchi zao leo zina afadhali gani kimaendeleo?
Hapa kwetu wakina Kambona na Mtei nao walikuwa wanampinga Nyerere kwa kukataa sera za wakoloni. Sasa hivi tunao wahuni wanaopinga namna taifa linavyoendeshwa, eti wako nyuma ya wazungu.
Hatudanganyiiiikiiii.
Na wewe kavulata mkunazini zanzibarTz ngapi? Kila aliyetifuana na Nyerere/viongozi wa tz walikimbila nchi za wakoloni (masters wao). Kambona kenda UK, Mtei kenda US, eti IMF kuzuga tu, Babu UK, Lissu Ubelgiji/US, Lema Canada. Tunawazoom tu.
Sasa usiposaidiwa na wazungu utasaidiwa na nani?Wazungu hawakuanza leo kuzitaka rasilimali zetu. Wakati wa kutafuta uhuru kuna watu wetu walitumiwa na wakoloni kuzuia tusipate uhuru. Hata baada ya kupata uhuru kuna watu walitumiwa na wakoloni kupora uhuru na rasilimali zetu. Watu hawa wanaona viongozi wanakosea kwenye kila kitu, eti wao kwa msaada wa wazungu watafanya vizuri kama wakiongoza nchi.
Wajinga kabisa, Afrika kuna nchi gani ambayo iko vizuri kwakuwa viongozi wao wako karibu na wakoloni? Kuna viongozi ambao walikuwa karibu na wakoloni kama Mobutu, Kamuzu Banda na Jomo Kenyata?. Je, nchi zao leo zina afadhali gani kimaendeleo?
Hapa kwetu wakina Kambona na Mtei nao walikuwa wanampinga Nyerere kwa kukataa sera za wakoloni. Sasa hivi tunao wahuni wanaopinga namna taifa linavyoendeshwa, eti wako nyuma ya wazungu.
Hatudanganyiiiikiiii.
Mkuu usibishane na binadamu asiyekuwa na kichogoMmmh kwa wanaochimba madini na resources zngne ni akna nani? Na ni nani amewapa mikataba hiyo? Tanzanite, dhahabu, almasi, makaa ya mawe nk nk wanaochimba ni akna nani? Wamewezaje kuchimba? Nani wametawala taifa hili tokea tupate uhuru? Viwanda viko wp? ni shirika gn la serikali linafanya vzr? Mikopo na misaada tz wanapata wp na wanapewa na akna nani? Aliyechukua wanyama pori mbugani akawapandsha ndege kwenda uarabuni ni nani? Aliyegawa bandari ni nani? Magufuri alisema ameona mikataba ya hovyo je ni nani aliingia mikataba hiyo? Hao UNAOWANYOOSHEA KIDOLE HAO, NI WP WAMEHUSIKA NA YOTE NILIYOULIZA? KAMA HAWAJAHUSIKA JE NI NANI MUHUSIKA?