Kila aliyegombana na Nyerere alikuwa na usaidizi wa wazungu

 

Na ninyi mliofuata sera za kiuchumi za Nyerere mpo katika hali gani sasa?

Nyerere mwenyewe alikuja kukiri kwamba sera zake za kiuchumi zilifeli...
 
Kuna watu wanaona Nyerere alikuwa malaika...
Nyerere alijitahidi kuleta umoja...kwa nchi...
Ujamaa ulichelewesha maendeleo na alikiri baada ya kustaafu...na mbaya zaidi vita ya Kagera iliuwa kabisa uchumi ila hakutaka kusikiliza washauri...
Kuna watu wanafikiri Nyerere alikamilika...ila alivuruga sana uchumi wa nchi... biashara nk...mambo ya uhujumu uchumi yalisababisha wafanyabiashara wengi Kwenda Kenya na kuinufaisha nchi hiyo kiuchumi
 
Mijitu ambayo imeshindwa hata kupanga miji Yao,iko katika fikra za utajiri wa rasilimali,wakati utajiri mkubwa wa dunia hii ni akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…