Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

Kwa hiyo unataka kusema hizi pisi zinazodai hazipend wanaume weupe ,kuna jambo nyuma ya pazia?[emoji14][emoji14][emoji14]
Hii ni kweli mkuu

Mimi wife huwa namsikiaga akimwambia mdogo wake, "kuwa na mwanaume mwenye mwonekano wa kiume, usiwe na mwanaume mzuri mzuri kama mwanamke atakusumbua sababu anajiona yeye ni mzuri na anaweza kupata mwingine"
 
Wanawake huwa wanapenda wanaume wakuwapelekesha.
Kwa kiasi lakini uwe unabalance

Ndo sababu inayofanya wife anipende maana nikikasirika huwa nakasirika kweli mpaka kuna muda huwa anadai simpendi
Kuna muda nambebisha ila kuna muda namkazia hadi anaomba msamaha

Pia kuwa na misimamo kwenye mambo ya msingi
 
Sawa Israel Mtoa roho
 
pwilo hii inasemwa sana wanawake huwa wanaongozwa na hisia, bahati mbaya sijaweza kuelewa kuhusu hii!

unaweza ukafafanua kiasi ili nielewe pamoja na wengine wasioelewa au kufahamu?
Yaani wanawake ni watu wa hisia wao wanaamini wanachokiona kwa mfano.

Mwanaume unaweza ukawa na hela ukamuuliza mke wako unataka tujenge au tununue gari basi mwanamke atachagua gari au iPhone kwasababu wanawake ni watu wa emotions they believe what they see without details ila wanaume wanataka details.

Kwa mfano unaweza ukamwambia mke wako nimeachishwa kazi kipindi cha likizo kile cha mwezi mmoja na akaamini akaanza kukudharau bila kutafuta ukweli we angalia asilimia kubwa wenye iPhone ni wanawake kwasababu they feel honoured and respected by others.

Kwenye nyumba za ibada na kwa waganga wengi ni wanawake kwasababu they don't want details they believe everything they see ukimwambia mwanamke unaweza kubadilisha mchanga kuwa sukari anaweza akaamini ila mwanaume atasema haiwezekani.

Unaweza ukatoka kwenda kazini mke wako akabadilisha mapazia akapanga kila kitu vizuri ndani yaani ukirudi usipo mwambia kuwa pamependeza atajiona hajafanya kitu ila ukimpongeza anajihisi happy if yo do anything that makes woman feel excited you can earn her heart.

Unajua kwasababu gani jamaa wa garage wanawala sana wanawake kwasababu women believe everything they see hata kama gari sio yako unaweza kumla for women what is unseen worth nothing.

NB;Men talks what they think and not what they feel. On contrary women talk what they feel and not what they think.
 
Umenena na nakazia mkuu ukichukua kiasi Cha mil 10 uka mkabidhi mwana mke ukamwambia ficha

ata ipokea na kuificha"

Lakini kwa mwanaume kabla haja ipokea atakuuliza sjakuelewa kivip?

Ya kazi gani?

Kijanja au kimtaa mtaa atakuuliza ni pira au fresh?

na lazima umthibitishie ndipo ata itunza kinyume na hapo hawezi pokea

Hata awe na njaa vip?

So man's tuko na kitu Cha ziada ambacho ladies hawana kwa maana ya maelezo yako mkuu
 
Shukrani sana pwilo umeeleza vizuri sana. Nimeelewa vizuri.

Kutokana na wanawake kuwa watu wa-emotions ndio sababu tunaona ni rahisi sana mwanamke kumuamini mtu hata stranger na kudangwanya au hata kutapeliwa kwasababu hawafanyi uchunguzi.
 
Umenena na nakazia mkuu ukichukua kiasi Cha mil 10 uka mkabidhi mwana mke ukamwambia ficha

ata ipokea na kuificha"

Lakini kwa mwanaume kabla haja ipokea atakuuliza sjakuelewa kivip?

Ya kazi gani?

Kijanja au kimtaa mtaa atakuuliza ni pira au fresh?

na lazima umthibitishie ndipo ata itunza kinyume na hapo hawezi pokea

Hata awe na njaa vip?

So man's tuko na kitu Cha ziada ambacho ladies hawana kwa maana ya maelezo yako mkuu
kikawaida huwa hawaumizi kichwa kufikiri. Wakizidiwa na mawazo huwa wanatoa machozi.
 
Back
Top Bottom