Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

Yani kuna mambo meng hapa nayaona juu yako sipati jibu. Najaribu kufikir umri wako ni miaka mingap? Maana kwa akili hizo za kukremisha ulizonazo ni halali mwanamke akushinde...
.
Pili ulioa malaya unakuja kusema kuwa wanawake wote wapo hivyo...
.
Niishie kukupa pole tu, hakuna namna ingia "kataa ndoa" maana ndoa ishakuburuza na kukuchakaza....
🙏🙏 Ila naona hatu tofautiani Sana kihakiri na kimapito
 
Kuna mwanamke nilidate nae kisha balehe ilipokolea akaanzisha mizengwe si anatongozwa na kila mtu, nikampotezea, akaendelea kunitafuta mara kwa mara nikapotezea akakaa miaka 06 akarudi kunitafuta nikazinguq tena, eti akanichana [emoji23] ooh mtu mwenyewe wa kazi gani nilokuwa nakujaribu tu, nina mtu wangu tuko vizuri kimahusiano na kiuchumi.


Nikawazaaa, nikaona huyu atakuja kunitafuta tena itakuwa ananiona dhaifu kwa vile anaenda anarudi ananitext au kunipigia napokea.

Nikasema leo namtolea uvivu, nikamchana, chana kweli kweli, nikamwambia huelew kwanza unachotaka Duniani, upo upo leo huku kesho kule, na ukweli kwa hali yako inaonekana hata huko ulipo hapana ani ila unaigiza furaha kenge weye.

Akakata simu kwa kufoka na hasira,
Baada ya mwezi akanitafuta akasema mm ndio mwanaume wa pekee ninaesema ukweli, na akaenda mbali kwamba mm ndio ninaemjua vizuri hao wengine anahisi kama hawamuelewi nae hawaelewi,

Kwa hiyo kasema lengo nimshauri afanyeje kuishi na watu vizuri, kudumu na mtu wake n.k

Tukaongea muda wa kutosha, nampenda koz alisema anataka kubadilika we are best friends sio couple.

So wanawake hawahitaji maigizo, ukinyooka katika lifestyle yako ndio watakumiss.


Vijana wa sasa full kujibebisha kama mazoba au toto la mwisho kwa mama yake
Mwanamke huwa harisi anapo kutana na mwanaume harisi mkuu
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekumbana na shughuri ya kiumbe anayeitwa mwanamke, tena ilikuwa ni shughuri nzito kweli kweli na kwasababu ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza

Basi nikaamini pengine ndiyo maana misikitini na makanisani mashehe na wachungaji wetu wanahubiri sana kuhusu uvumilivu kwa wanandoa na wachumba kuvumiliana na kuchukuliana.

Wakuu zangu nimeingia mpaka mahakamani na sio mahakamani tu bali mpaka mahabusu nimeingia, tena sio mara moja tu bali zaidi ya mara moja, kwahiyo yale mambo ya ndiyo bwana mkubwa, kukojoa ume chuchumaa mtoto wa kiume, nimekutana nayo sana kupitia mwanamke wangu.

Kiukweli skupenda kuachana na mke wangu hasa nikiangalia dunia ya sasa ilivyoharibika, sikutaka kuacha watoto wangu wakae mbali na mimi, hivyo hofu yangu juu ya watoto wangu ilinifanya nivumilie mengi na kupitia uvumilivu huo nilijikuta napitia misukosuko mingi kwa zaidi ya miaka nane na mke wangu.

Na kupitia mi sukosuko yangu na mke wangu na ile ya majirani, ndugu, na jamaa zangu wa karibu nikajikuta nimegundua mambo mengi kuhusu mwanamke.

Nilijikuta nimegundua kwamba, mwanamke kila kitu anachokizungumza mbele ya mwanaume ni kinyume chake. Kwamfano mwanamke akikuambia napenda hiki kinyume chake nikwamba hakipendi hicho anacho kizungumza.

Ninamaanisha mwanamke akisema anapenda sana kula samaki basi anamaanisha hapendi kabisa kula samaki.

Vivyo hivyo akikuambia anamchukia sana rafiki yako Juma na ukimuuliza kwanini atakuambia damu tu haziendani namchukia sana, basi jua tafsiri yake nikwamba anampenda sana rafiki yako juma isipo kuwa Juma hana time nae pamoja na yeye kujisogeza sogeza kwa Juma ndiyo maana anamchukia huyo Juma. Vivyo hivyo akisema anakupenda sana basi hakupendi sana.

Pia nimejifunza kwamba mwanamke nikama mtoto mdogo, mtu anayemkumbuka kwa vizuri vizuri basi huyo ndiye huwa her lover, haijarishi atampa vidogo au vikubwa.

Kwakifupi urafiki wa mwanamke au upendo wa mwanamke ni wa kimasilahi zaidi, nothing free, lazima utoe kitu ili umpate au uupate upendo wake kwako na kitakapoisha hicho kitu basi lazima atakuacha na kuenda kwa mwenye nacho.

Kwahiyo unapo kuwa nakitu cha kumvutia mwanamke akupende hakikisha unampa isipokuwa asijue unakitolea wapi, na kimebaki kiasi gani, don't try utajuta.

Pia nikagundua kwamba mwanamke hawezi kuolewa au kuwa na urafiki wa kudumu na mwanaume ambaye hawezi kumtawala. Labda niseme mwanamke hawezi kuolewa na mwanaume ambaye hawezi mwendesha/kumtawala.

Mwanamke akishindwa kukutawala basi mtaachana na atakuita majina yote mabaya. Utaskia siwezi kuishi/kuolewa na mwanaume mvuta bangi/kichaa kama yule. Ukiona anasema hivyo basi jua wewe ni mwanaume kweli kweli, in JPM voice.

Ukiona mwanamke anakuchukia sana huenda akawa ndiye mwanamke anayekupenda zaidi kuliko yule anaye kuchekea sana. Niligundua kwamba ukitaka mwanamke jeuri akuzalie mtoto usimwombe akuzalie mtoto, badala yake mwambie, nimekuowa ila usizae kwanza mpaka tutengeneze maisha kwanza ndipo tupate mtoto. Aiseeh atabeba mimba haraka sana tena bila wewe kujua.

Niligundua kwamba mwanamke anapenda umbea, anapenda kusikilizwa sana kwahiyo hata akiongea upuuzi/utoto toto wewe mpe support tu basi hapo hata ukichelewa kuludi nyumbani atakupigia.

Nakama kuna mjinga ana msumbua hapo mitaani kwako atakutonya. Niligundua kwamba mwanamke anapenda au ana hulka ya kupenda kuumiza au kutesa, hakunakitu mwanamke hujiskia vizuri kama kumuumiza adui yake.

Basi mwanamke hujiskia vizuri sana mtu anaye shindana nae akiumia, ukitaka kuamini basi chunguza ndoa zenye wake wawili Yani b mkubwa na mdogo utashuhudia kiumbe huyu alivyo na roho mbaya.

Ukitaka mwanamke akupende mchukie na ukitaka akuchukie mpende. Ukitaka mwanamke awe kicheche mwamini na ukitaka asiwe kicheche usimwamini. Ukitaka kumpoteza mjari na ukitaka usimpoteze usimjari Sana na hata ukimjari don't show her you care too much about her utadumu nae.

Mwisho mwanamke yeyote ni mshirikina na unaweza kuishi nae miaka usimjue japo wengi hawana nia mbaya zaidi ya kututawala ili walinde ndoa zetu zisimvunjike taifa la kesho lisipotee.

Haya ni machache niliyo yaona kwa wanawake. Pamoja nahayo nitumie nafasi hii kwa niaba ya wanaume wenzangu wote kwamba tunawapenda sana
Mama zetu

  • Mauwa yetu
  • Fraha yetu
  • Msingi wa Maisha yetu
  • Miungu wetu was dunia

Kwani bila wao Maisha haya hayana maana, tunawapeni asanteni kwa kuuchangamsha uwanja huu unao itwa dunia.
Andiko lako lina uhalisia wa 50% vingine apon uongo Mkuu
 
Ni mchezo km michezo mingine ukicheza fyongo umefungwa na opponents ni wawili tu ambao daily wanalala kwenye uwanja mmoja, kuna kuuza mechi, kupewa red card, na michezo mingine michafu
Mbonaa hatarii hii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nn kifanyike? Na vipi refa hayupo? VAR hakuna?
 
Nadhani Kuna ile hali ya kujiamini kulingana na uzuri wake anakuwa nayo na anategemea/kutamani Kila Mwanaume amuone vile wengi wanavyomuona na kumfukuzia kwa nguvu na gharama kubwa.

Inapotokea wewe unamchukulia poapoa anashindwa kuelewa ni kwann unashindwa kumvalue Kama wengine kinachofuata ni kuumiza kichwa kujaribu Kutafuta sababu za wewe kumuona wa kawaida wakati huko nje watu wenye pesa, hadhi nk wanamtaka kwa udi na uvumba.

Hii njia inanisaidiaga Sana kuepuka kuumizwa kipuuzi. Kuna mmoja aliamua kabisa kunifungukia kwamba, "hivi unanichukukiaje kwa mfano?, Unajua nawakataa wangapi Ila wewe unaamua kuniona Kama mfanyakazi wako wa ndani" nilimwambia kwangu wew ni msela wa kawaida Sana kwa kukusaidia ungewakubalia hao wanaoona kitu kwako.

Yule dada alinichukia Kama miezi miwili hivi na Mimi nikawa busy na issue zangu Ila mwisho wa siku akaja kuniomba kikao kuniuliza nimsaidie kumweleza kasoro zake zisizoonekana.
Nachukua madini hapa...
 
Back
Top Bottom