Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Aunt usisikilize Hawa ingia hivohivo😀😀Watu wanateseka na ndoa jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aunt usisikilize Hawa ingia hivohivo😀😀Watu wanateseka na ndoa jamani
DeepPondUKITAKA MWANAMKE AKUPENDE MCHUKIE NA UKITAKA MWANAMKE AKUCHUKIE MPENDE 😀😀😀@deeppond sema neno mkuu
Kabisa mkuu, ukiamua kumpotezea na kumchukulia kawaida atajitahidi usimchukulie hivyo(uone uzuri wake). Hasa kwa hizi pisi kali akili kijiko.Ukimpenda Sana unakuwa kauzibe kwake/kausumbufu so utamchosha sababu ya hurka yake ya kupenda kujiachia
Ukimchukia/kumdharau atajiuliza ana kasoro gani mpaka wewe umdharau? Kwaninwewe ninani? Umeona wangapi? Una nini hasa ambacho walio mchukua/au kumfukuzia hawana?
So ata jipitisha kwako na Kila style ya mavazi,Kila style ya mwendo Kila style ya mwonekano na kadri utakavyo zidi kumpuuza ndivyo atakavyo vutiwa nawewe zaidi mkuu
Huna mdogo wako hajatNa ndio maana mmeambiwa muowe wanawake wenye dini,
Akitaka kukufanyia baya roho ina msuta ile dini ina mzuia.
Wanawake tunashida sana ila tukiwa na dini kidogo inakuwa afadhali.
kwaunavyoona kwasababu gani ukishampotezea mwanamke huwa anasumbuka? Peril22Kabisa mkuu, ukiamua kumpotezea na kumchukulia kawaida atajitahidi usimchukulie hivyo(uone uzuri wake). Hasa kwa hizi pisi kali akili kijiko.
Nimejikuta natabasmu tu bila kupenda... Sikuambii kwa nini...
Nadhani Kuna ile hali ya kujiamini kulingana na uzuri wake anakuwa nayo na anategemea/kutamani Kila Mwanaume amuone vile wengi wanavyomuona na kumfukuzia kwa nguvu na gharama kubwa.kwaunavyoona kwasababu gani ukishampotezea mwanamke huwa anasumbuka? Peril22
😂😂Aunt usisikilize Hawa ingia hivohivo😀😀
Mimi nilisha waambia ukitaka kudumu na mwanamke basi nenda kinyume na yale maandiko matakatifu yanavyosema tuishi nao,
Kule tumeamriwa kuwapenda na kuishi nao kwa akili kama chombo kisicho na nguvu na kiumbe dhaifu sasa wewe geuza iwe kinyume chake. Popote pale wewe geuza tuu utakuja kunishukuru baadae maana hiyo ndiyo akili pekee ya kumuwin mwanamke.
Ukimpenda mwanamke jua umempoteza , wewe ukiona unampenda cheza cheza nae tuu mwishowe mnajikuta yeye ndo kakupenda kakuvulia , kakuzalia na yupo ndani kama mke alafu toa matumizi na asijue unakiasi gani cha hayo matumizi tofauti na hapo utaumia
Nb: mwanamke ni adui mkubwa pekee duniani wa mwanaume. Mshinde adui kabla hajakushinda in mabakabaka voice tunasema wape rahaaa yani wape raha kinyume chake kwa wasio elewa ni wapelekee moto ni mabomu tu.
😂😂Wewe hakikisha hakujui 100% sasa hutaki kuelewa akujue 100% umekwisha, asipokujua km leo una hela au huna ataishi na wewe kwa nidhamu Ila akiwa anajua leo unazo na kesho huna hapo utajua mbinguni kwanini wanasema kuna makao Mazuri sana
😂😂Malizia sentence
Hakili mingiNadhani Kuna ile hali ya kujiamini kulingana na uzuri wake anakuwa nayo na anategemea/kutamani Kila Mwanaume amuone vile wengi wanavyomuona na kumfukuzia kwa nguvu na gharama kubwa.
Inapotokea wewe unamchukulia poapoa anashindwa kuelewa ni kwann unashindwa kumvalue Kama wengine kinachofuata ni kuumiza kichwa kujaribu Kutafuta sababu za wewe kumuona wa kawaida wakati huko nje watu wenye pesa, hadhi nk wanamtaka kwa udi na uvumba.
Hii njia inanisaidiaga Sana kuepuka kuumizwa kipuuzi. Kuna mmoja aliamua kabisa kunifungukia kwamba, "hivi unanichukukiaje kwa mfano?, Unajua nawakataa wangapi Ila wewe unaamua kuniona Kama mfanyakazi wako wa ndani" nilimwambia kwangu wew ni msela wa kawaida Sana kwa kukusaidia ungewakubalia hao wanaoona kitu kwako.
Yule dada alinichukia Kama miezi miwili hivi na Mimi nikawa busy na issue zangu Ila mwisho wa siku akaja kuniomba kikao kuniuliza nimsaidie kumweleza kasoro zake zisizoonekana.
Huna mdogo wako hajat
😍Huna mdogo wako hajat
😂Wenzio wamenuna uzi wanaupita km hawauoni sababu umemwaga Siri za Mkole
😆Aunt usisikilize Hawa ingia hivohivo😀😀