jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu mke lazima atajua tu kama unazo pesa au pesa hazipo kwasababu mnaishi Pamoja na mmezaa watoto wana miaka Zaidi ya kumi.Wewe hakikisha hakujui 100% sasa hutaki kuelewa akujue 100% umekwisha, asipokujua km leo una hela au huna ataishi na wewe kwa nidhamu Ila akiwa anajua leo unazo na kesho huna hapo utajua mbinguni kwanini wanasema kuna makao Mazuri sana
Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app