Kila anayemgusa Lisu kwa ubaya, "ANANUKA".

Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida
 
Aisee ni kweli kuna siku nilitaka kumpa mkono ghafla mkono wangu kama ukawa unatembea shoti ya umeme lakini bodyguard wake alinizuia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa zile risasi huwezi kupona kama sio mpango wa Mungu.
Hata wale waliomshambulia kama wapo hai bado wanajiuliza aliponaje?

Kuna watu kwenye dunia hii siyo wakufanyia ubaya.

Tatizo viongozi wetu wengi wamepofushwa kama alivyopofushwa farao.
Ili Mungu akupige tukio la kiburi.

Lissu hana makosa anawatetea wananchi wake hakuna pesa wala malipo ya kumlipa kwa anachokifanya.

Anafanya yote kwa mapenzi ya Taifa letu
 
Huyo askari alichomwa kisu wapi na amefariki lini?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…