Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.

Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?

Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
 
Dubai nchi nzima ni 3.3m. Wasomi wetu ni zaidi ya nchi yao nzima.

Rasilimali zetu mara ishirini kuliko zao. Akili za viongozi zetu ni ndogo mara ishirini kuliko viongozi wao? Hesabu?
Kwenye hili wasomi hatujashirikishwa tumeshitukia hili hapa.
Unaongelea vipanga? Yule Waziri wa fedha huwa anajisifu kila siku ni kipanga!
Ana matokeo Tata sana na majina Tata. Pale ambapo amesoma kabisa watu wanamjua hakupata division one
 
Kwenye hili wasomi hatujashirikishwa tumeshitukia hili hapa.

Ana matokeo Tata sana na majina Tata. Pale ambapo amesoma kabisa watu wanamjua hakupata division one
Tuanzie na Rais. Angekuwa na elimu ya kueleweka tusingeuza Ngorongoro, loliondo, na huu mkataba wenyewe serikali hawajui hawauelewi wamesaini nini?
 
Back
Top Bottom