Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Usiogope, ni haki yako kuhoji Kodi, pesa, majukumu uliompa anavyoyatumia.

Kama anayatumia vibaya uliza?
Wanapora haki ya watanzania kujua mikataba wanayoingia. Hawachelewi kuchukua haki yangu ya kuishi.
 
Kwakweli tumeamua kuwakabidhi nchi wanyang'anyi.... So painful..... Tulio amini kutetewa nao ndio wamekuwa vinara wa kutunyonga hadharani mchana kweupe. Hivi hao wawakilishi wetu mjengoni hawajaliona hili...?
 
Eti kampuni ya serikali inaendesha Bandari badala kwenda kujifunza wamefanikiwaje. Tunaenda kuwauzia Bandari. Ukiuliza unakodisha hapana hatukodishi. Mnauza hapana atuuzi. Ni ushiriano wa kimataifa. Ushirikiano upi unampa Ardhi, na management? Hebu tukusanye form four tu wenye division one waliomaliza mwaka Jana wauchambue huu mkataba uone.
 
Shida ni kubwa sana. Hapa nashangaa sana kwamba hata hao wawakilishi wetu zaidi ya 360 hakuna hata mmoja aliyeshindwa kung'amua mtego huu. Au kuna kitu wamelishwa na kimepoteza ufahamu wao. Wakiongea wanaongea kwa woga na tahadhari kubwa sana. Unyonge wa hivi ni hatari kubwa sana. Kwakweli tumuombe Mwenyezi Mungu aingilie kati.
 
Wabunge wenye division one walikwepa kuchagia. Wakakimbia wote. Inaonekana walipigwa mkwara.
 
one ya kukariri mechanism of hearing, kukichambua kitabu cha mama Ntilie, na importance of soil ndo kipimo cha akili ?
 
Shida ni kubwa sana. Hapa nashangaa sana kwamba hata hao wawakilishi wetu zaidi ya 360 hakuna hata mmoja aliyeshindwa kung'amua mtego huu. Au kuna kitu wamelishwa na kimepoteza ufahamu wao. Wakiongea wanaongea kwa woga na tahadhari kubwa sana. Unyonge wa hivi ni hatari kubwa sana. Kwakweli tumuombe Mwenyezi Mungu aingilie

Shida ni kubwa sana. Hapa nashangaa sana kwamba hata hao wawakilishi wetu zaidi ya 360 hakuna hata mmoja aliyeshindwa kung'amua mtego huu. Au kuna kitu wamelishwa na kimepoteza ufahamu wao. Wakiongea wanaongea kwa woga na tahadhari kubwa sana. Unyonge wa hivi ni hatari kubwa sana. Kwakweli tumuombe Mwenyezi Mungu aingilie kati

Shida ni kubwa sana. Hapa nashangaa sana kwamba hata hao wawakilishi wetu zaidi ya 360 hakuna hata mmoja aliyeshindwa kung'amua mtego huu. Au kuna kitu wamelishwa na kimepoteza ufahamu wao. Wakiongea wanaongea kwa woga na tahadhari kubwa sana. Unyonge wa hivi ni hatari kubwa sana. Kwakweli tumuombe Mwenyezi Mungu aingilie kati.
Hakuna bunge pale, spika ndo kabisaa, alinishangaza sana akiona wapinzani waliohoji aliwabana sana, wabunge wengine km Nape badala ya kuchangia content akawa anamshambulia mbowe sijui alitajwa ndani ya mkataba? Mwingine wa Tarime ndo hovyo kabisa yaani debe tupu
 
one ya kukariri mechanism of hearing, kukichambua kitabu cha mama Ntilie, na importance of soil ndo kipimo cha akili ?
Inawezekana siyo kipimo lakini kama Mtu ameshindwa kuchambua mapenzi kwenye kitabu aKapata A ataweza kuchambua mkataba kwa manufaa ya nchi kweli?
 
Hakuna bunge pale, spika ndo kabisaa, alinishangaza sana akiona wapinzani waliohoji aliwabana sana, wabunge wengine km Nape badala ya kuchangia content akawa anamshambulia mbowe sijui alitajwa ndani ya mkataba? Mwingine wa Tarime ndo hovyo kabisa yaani debe tupu
Wabunge wenye division one walikimbia mjadala wote. Wala hawautete hadharani.
 
Hiyo njemba inajua mipasho tu.... Hamna kitu humo.... Hovyo kabisa..... Kati ya watu ambao huwa natamani ghalika ikitokea ianze nae tu....
 
Nasikia wote Hawana division one wale
 
Wabunge wenye division one walikimbia mjadala wote. Wala hawautete hadharani.
Balaa hilo.... Mbunge wa Ubungo aliongea kitu flani kwa tahadhari kubwa sana. Hasa aliposema hata sisi wa Tanganyika turuhusiwe kugombea na kushika uongozi Zanzibar....
 
Huu mkataba hauhitaji hata elimu ya form 4 kuona manufaa utakayoleta kwenye nchi, tutakusanya mapato mara tatu zaidi, acheni kupinga maendeleo nyie watanganyoka 🐒
 
Balaa hilo.... Mbunge wa Ubungo aliongea kitu flani kwa tahadhari kubwa sana. Hasa aliposema hata sisi wa Tanganyika turuhusiwe kugombea na kushika uongozi Zanzibar....
Yule mbunge alilazimishwa kutoka kufundisha kwahiyo yupo kitaadhari
 
Back
Top Bottom