Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mimi nina Division 1 ya point 14 na nanga mkono mkataba huu. Una lingine?Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.
Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini?
wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu waJaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.