Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Ujinga ule ule wa watanzania kudhani kuwa elimu zao ndio kila kitu. Mleta mada ukirudi nyuma kwa wazazi wa wazazi wako, yupo mmoja wa babu zako mwenye elimu yoyote?.

Newton alipata shahada ya chuo kikuu karne hizo za 1600, Tanzania yetu ilikuwa inafananaje wakati huo?.
Achana na hao watoto wa juzi bado wananuka maziwa. Sisi tuwakaririshe jogr,English, hist nk halafu muwe na akili kuliko sisi
tuliowakaririsha!
Vitoto vya mwaka 2000 eti vinajifanya vinauelewa mkubwa kiliko babu zao wanao ongaza nchi tangu miaaka ya 80.
Kama vimeelimika, they have to use their intelligence and power to stop it happening. Div one unajificha JF kuhoji, tokeza wazi,peupe uhoji ipinge.
Hakujawahi tokea mtu alie elimika akawa muoga.
 
Elimu zingine rahisi sana huku. Ukifeli we fala. Kitu form four ndio cheyewe. Una utoto kichwani kubarehe na kila kitu kipya. Ukivuka na matokeo mazuri. Huwezi kuingia mkataba huu
Wewe ni teenager bila shaka.
 
Tumeshashindwa na sio sababu ya elimu bali ni utamadani mbovu wa ubinafsi, choyo na kutokuwa waaminifu.
Sio tu bandari, mashirika ya umma karibu yote yalishabinafsishwa kitambo tu, kilichobaki Mashirika yaliobaki kama Tanesco yakodishwe hayana faida.
Wadanganyika hatuna uwezo wa kuendesha chochote kwa faida.
Tunachojua sisi
rushwa ,
upendeleo,
ukabila,
undugunaization,
wizi,
uvivu
choyo
na udini.
Kwa maslahi mapana ya wananchi maskini wa kizazi kijacho, kila kinacholeta hasara au faida isiyoridhisha wakodishwe wageni kwa miaka angalau 100 ili kizazi hichi kilichojaa laana ya wizi, rushwa, na ubinafsi uliopitiliza chote kiishe.
 
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.

Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.

Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?

Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Una matokeo ya Mederu 4m4?
 
Tunaami

Tunaamini uongozi si elimu
 
Sijakuelewa point yako. 👆🏾

Tafadhali aliyeielewa hii post #1👆🏾 atueleweshe ambao hatujaielewa. Binafsi sijaielewa.

Katika kujitahidi niielewe nimetumia mpaka AI kuitafsiri kwenda Kingereza na Kiarabu lakini AI nae kanipa tafsiri zisizoeleweka👇🏾

English translation:

If you follow closely this discussion the Influential contributors and endorsers of this Influential contract. If you leave the candidates who are constitutionally and party-based.

Most of them do not even have division one in form four results.

Why even the Ministry of Finance took the same ones with complex results. Why don't they choose ineffective Tata?

Let's try to comfort Kotta the Ministry of Finance and see.

Arabic translation:

إذا تابعت عن كثب هذه المناقشة ، المساهمون المؤثرون والمصادقون على هذا العقد المؤثر. إذا تركت المرشحين الدستوريين والحزبيين.

معظمهم ليس لديهم حتى الدرجة الأولى في شكل أربع نتائج.

لماذا حتى وزارة المالية اتخذت نفس النتائج بنتائج معقدة. لماذا لا يختارون شركة تاتا غير الفعالة؟

دعونا نحاول أن نريح كوتا وزارة المالية ونرى.

Arabic transliteration:

iidha tabaeat ean kathab hadhih almunaqashat , almusahimun almuathirun walmusadiqun ealaa hadha aleaqd almuathiri. 'iidha tarakat almurashahin aldusturiiyn walhizbiiyna.
muezamuhum lays ladayhim hataa aldarajat al'uwlaa fi shakl 'arbae natayija.
limadha hataa wizarat almaliat aitakhadhat nafs alnatayij binatayij mueaqadatin. limadha la yakhtarun sharikat tata ghayr alfaeaalati?
daeuna nuhawil 'an nurih kuta wizarat almaliat wanuraa.

Jamani hata AI kashindwa kunisaidia kuelewa. Mabibgwa wa JF ingilieni Kati mnisaidie.

Au mleta mada ameandika ndoto aliyoiota?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
"The problem of Africans, "those with ideas have no powers and those with powers have no ideas"
 
Mwingi upi sasa
 
Wasomi wetu hao wa vipaji maalum, Ilboru, UDSM. Badala ya kuhoji mkataba wautetea Kwa nguvu.

Sijui wale wa Havard, Oxford, Cambridge maoni yao kuhusu mhimili wa nne, wa kuhoji Tanzania?
Debe liliojaa halipigi kelele
 
Tunaami

Tunaamini uongozi si elimu
Uongozi ni kipawa, hekima na elimu ya mazingira yako.
Elimu ya kukariri ya darasani ya mkoloni wa kiingereza au bepari wa kimarekani ni nyenzo ya kukupatia cheti na kibarua cha kupatia ugali wako, ikizidi sana ni kukufanya mtumwa wa fikra na mawazo
mgando tu
Viongozi bora kabisa kuwahi kutokea hapa dangayika kina Mkwawa, mtemi Mirambo, na wengineo hawakuwa na hizo division one.
Hata kwenye maandiko matakatifu ya bibilia na qurani Yesu na Muhammad hawekwenda shule lakini hakuna mpaka kesho kiongozi anaewakaribia.
 
Back
Top Bottom