Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Hakune mwenye elimu ya kusimamia bandari nchii elimu mlizonazo hata kuuza maandazi mbashindwa hitakuwa bandari
Tume wamewajaribu vipinga kabisa. Hawapigi kelele Hawa ongeagi sana.
Debe tupu hilipigi kelele
 
Ndio tumewka Vilaza Sasa tayari tujaribu na Hawa waliokairiri labda mambo yatakwenda.

Mimi siamini kama watanzania wanashindwa kuendesha bandari
Kama wanashindwa kusimamia halimashauli za wilaya hitakuwa bandari elimu ya watu weusi inamfaa huyo 1
 
Kama wanashindwa kusimamia halimashauli za wilaya hitakuwa bandari elimu ya watu weusi inamfaa huyo 1
Tumewahi kuchukua wenye A zote tukawapa Halimashauri. Mimi naonaga wengi wameungaunga sana. Longolongo. Kujamaa alikuwa Hajiwezi kabisa. Nikamkuta ni Doctors tena Mkurugenzi.
 
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.

Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.

Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?

Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Kuna mbunge mmoja alipata Division Zero, kule simanjiro.

Naye anaujadili mkataba wa DP World?
 
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.

Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.

Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?

Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka
 
Attachments

  • 81933FF1-825A-4A5A-8D75-AE26D79CEE0E.jpeg
    81933FF1-825A-4A5A-8D75-AE26D79CEE0E.jpeg
    29.1 KB · Views: 3
Kila nchi wanalia na DP world
Si kweli Senegal wanapaa sasa hivi Bandari yao Imeshakua Kubwa zaidi West Africa, Hawa Dp world ndio waliowaokota Jalalani Djibout toka Nchi ya ovyo ovyo mpaka walipo sasa. Kifupi Dp world hawapati Hela wasipoongeza uzalishaji.

Chukulia Uhalisia madini mchimbaji anaweza Toa Rushwa akapewa Ardhi akachimba mengi akarudi Sha hela yake.

Biashara ya Bandari Dp world anapataje hela? Anarudishaje hela yake? Kwa kuongeza uingizwaji wa Makontena, kama Yanaingia 3000 Kwa mwezi inabidi yaingie zaidi, Yakiingia mengi na wao wanapiga hela nyingi.

Wakileta Makontena mengi indirectly na Serikali nayo inapata hela nyingi, ndio maana hawa jamaa wamekubalika Dunia nzima.
 
Mods watufungulie jukwaa la wazee wa division one tuchangie huu mgogoro wa bandari, watupumzishie akili za vilaza kwanza wasubiri kuambiwa uamuzi.
 
Saa mmii mbilii mwenyewe kafeli fomm fooo na elimu ya kuunga unga tu mpaka kufikia masters.

Alikua na aka yake ya bi. Mchele.
 
Ndio tumewka Vilaza Sasa tayari tujaribu na Hawa waliokairiri labda mambo yatakwenda.

Mimi siamini kama watanzania wanashindwa kuendesha bandari

Hebu nikumbushe kidogo, ni mwaka upi nyerere aliwanyang'anya wazungu mgodi wa Williamson diamond ili waiendeshe wao kama serikali na ikawashinda kuiendesha mpaka wakaurudisha kwa mzungu!!
 
Back
Top Bottom