Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Tatizo elimu ya Tanzania ni ndefu sana yani hadi umemaliza masomo na akili nayo imechoka.

Hatutengenezi wavumbuzi ila tunategemea wavumbuzi....
 
Si kweli Senegal wanapaa sasa hivi Bandari yao Imeshakua Kubwa zaidi West Africa, Hawa Dp world ndio waliowaokota Jalalani Djibout toka Nchi ya ovyo ovyo mpaka walipo sasa. Kifupi Dp world hawapati Hela wasipoongeza uzalishaji.

Chukulia Uhalisia madini mchimbaji anaweza Toa Rushwa akapewa Ardhi akachimba mengi akarudi Sha hela yake.

Biashara ya Bandari Dp world anapataje hela? Anarudishaje hela yake? Kwa kuongeza uingizwaji wa Makontena, kama Yanaingia 3000 Kwa mwezi inabidi yaingie zaidi, Yakiingia mengi na wao wanapiga hela nyingi.

Wakileta Makontena mengi indirectly na Serikali nayo inapata hela nyingi, ndio maana hawa jamaa wamekubalika Dunia nzima.
Atapata kwenye hizi tunazopata badala ya kuingiza pesa serikalini zinaenda DP world. Kama Uingereza Walijenga Bandari kwanini wasingechukuap
Hebu nikumbushe kidogo, ni mwaka upi nyerere aliwanyang'anya wazungu mgodi wa Williamson diamond ili waiendeshe wao kama serikali na ikawashinda kuiendesha mpaka wakaurudisha kwa mzungu!!
Nyerere Hakuamini sana kuhusu elimu
 
Tatizo elimu ya Tanzania ni ndefu sana yani hadi umemaliza masomo na akili nayo imechoka.

Hatutengenezi wavumbuzi ila tunategemea wavumbuzi....
I atakuwa kuongezwa zaidi helimu haipunguzwi
 
Mtanzania kazi yake wizi tu
Hapa umesema ukweli mkuu, chukua Pepsi ya baridi kiongozi! Yaani ukiona mtz hajaiba Ina maana bado hajapata chance!

Nimeanzisha miradi mingi sehemu tofauti nikawapa marafiki, ndugu na hata majirani kote wameiba mno na miradi imekufa najipanga niingie mwenyewe mzigoni nina mradi mpya siweki mtu!
 
Huku kwetu mkataba upoje? Sijaona mkataba na unaamini wewe pia hujauona. Kama Kuna Alieuona alete jukwaani.
.
20230616_211930.jpg
 
Hapana tumewapa nafasi wenye elimu ya kuungaunga tumeona hebu tuwape vipanga na wenyewe tuone ndio uje hapa tuongee
Aliyeingia mkataba na DP World kuanzia hatua ya mwanzo kabisa ni mwanasheria mwenye masters ya international law ya pale Kiev Ukraine akisaidiana na Dr Possi mtaalam mwingine wa sheria za kimataifa.

Punguza kujidharau kaka Pascal, nchi imesomesha sana tangu sitini moja.
 
Achana na hao watoto wa juzi bado wananuka maziwa. Sisi tuwakaririshe jogr,English, hist nk halafu muwe na akili kuliko sisi
tuliowakaririsha!
Vitoto vya mwaka 2000 eti vinajifanya vinauelewa mkubwa kiliko babu zao wanao ongaza nchi tangu miaaka ya 80.
Kama vimeelimika, they have to use their intelligence and power to stop it happening. Div one unajificha JF kuhoji, tokeza wazi,peupe uhoji ipinge.
Hakujawahi tokea mtu alie elimika akawa muoga.
Ni kweli kabisa hawa ni wale maziwa mdomoni, watoto wanaozaliwa na sehemu ya kwanza kupelekwa na wazazi wao ni pale Mlimani City kununuliwa smartphone ya kisasa.
 
😄😄😄 hata wangekuwa na phds msomi wa bongo Fara tu mbele ya darasa la saba za akina msukuma na akina mwakajoka
 
Aliyeingia mkataba na DP World kuanzia hatua ya mwanzo kabisa ni mwanasheria mwenye masters ya international law ya pale Kiev Ukraine akisaidiana na Dr Possi mtaalam mwingine wa sheria za kimataifa.

Punguza kujidharau kaka Pascal, nchi imesomesha sana tangu sitini moja.
Yaani huu mkata

Kumbuka degree ya Kwanza Tanzania ni degree ya sheria. Hapa tuna wanasheria bobezi kabisa. Shule kuu za sheria, majaji na watu kadhaa akafatwa mtu kasoma Ukraine. Wale wajinga wameamua kusambaratisha nchi yao kwa kupiga na mtu mwenye nguvu kabisa. Wale wapumbavu ukaraine ni watumwa wa akili. Mexico au Canada Haiwezi kupigana Marekani. Japan ilikiona cha mtema kuni.
 
Badili mada ili usiendelee kuwa kichekesho kwa kujitambulisha kama msomi.

Huyo Mbarawa waziri wa uchukuzi na mawasiliano alisomea Ukraine. Mohamed Shein rais wa awamu ya saba wa Zanzibar alisomea Russia.
 
Atapata kwenye hizi tunazopata badala ya kuingiza pesa serikalini zinaenda DP world. Kama Uingereza Walijenga Bandari kwanini wasingechukuap
Charging za bandari sio kubwa kama import Duty, Vat na zinazoingia serikalini. Hivyo Serikali in short term itapoteza 5-10% ila long term itapata zaidi ya asilimia 300% ya inachopata sasa.

Wakati Dp world wanaingia Senegal 2008 Bandari yao Capacity ilikua 265,000 TEU na mpaka kufikia 2023 Capacity imeongezeka hadi 738,000 TEU

According to Mbarawa Bandari yetu inaingiza Tani Milioni 18 na projection ya Dp world ni Tani Milioni 47 mpaka kufikia 2033 miaka kumi ijayo, ongezeko la Asilimia 158,

Dp world uhakika 99% nakuhakikishia wataongeza pato la Taifa, hii ni proven kwa nchi zote walizokwenda atleast za Ki Africa nilizozisoma.

Mabaya ya hawa jamaa wala sio yanayotajwa humu, hawa ni watu wa logistics tu, wengi watakaoathirika na hawa jamaa ni wanaodeal na usafiri.
 
Badili mada ili usiendelee kuwa kichekesho kwa kujitambulisha kama msomi.

Huyo Mbarawa waziri wa uchukuzi na mawasiliano alisomea Ukraine. Mohamed Shein rais wa awamu ya saba wa Zanzibar alisomea Russia.
Wamefanyia nini hii nchi? Kuna Rais kasoma hapa hapa katuachia Mada raja yenye ubora kabisa kuliko Sasa hivi. Hawana cha kuonyesha
 
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.

Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?

Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
we umelewa asubuhi.
 
Hapata Mimi siamini kama watu million 60 wanashindwa kuendesha Bandari labda uwezo wa Hawa viongozi mdogo
Watu milioni 60 wanawekwa bandarini? Marekani ina watu wangapi, hujasikia hao DP World wako na kule Marekani? Hujasikia Marekani ndio anongoza uchumi wa dunia? Kwa huyo sasa DP World yupo. Tumia akili hata km ni ndogo kufikiri
 
Charging za bandari sio kubwa kama import Duty, Vat na zinazoingia serikalini. Hivyo Serikali in short term itapoteza 5-10% ila long term itapata zaidi ya asilimia 300% ya inachopata sasa.

Wakati Dp world wanaingia Senegal 2008 Bandari yao Capacity ilikua 265,000 TEU na mpaka kufikia 2023 Capacity imeongezeka hadi 738,000 TEU

According to Mbarawa Bandari yetu inaingiza Tani Milioni 18 na projection ya Dp world ni Tani Milioni 47 mpaka kufikia 2033 miaka kumi ijayo, ongezeko la Asilimia 158,

Dp world uhakika 99% nakuhakikishia wataongeza pato la Taifa, hii ni proven kwa nchi zote walizokwenda atleast za Ki Africa nilizozisoma.

Mabaya ya hawa jamaa wala sio yanayotajwa humu, hawa ni watu wa logistics tu, wengi watakaoathirika na hawa jamaa ni wanaodeal na usafiri.
Mechanism ya kupata ni ipi mbona hakuna kiashiria cha mapato kuongezeka. Je wanabomoa na kujenga Bandari kubwa kabisa Duniani? Wanatangaza vyombo vya habari kuvutia Meli zije Dar es salaam port. Mnatupa matumaini wataleta hela kivipi au wanakuja na Uchawi upi kuongeza mpato
 
Back
Top Bottom