Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
- #181
Wakurugenzi wa mchongo. Mtu anatoka DST anapewa Tanesco bila interviewKama tz tukiachana na mbeleko nchi itaendelea,kila mtu awajibike kwenye nafasi yake,mashirika hayana faida navmkrurugenzi yupo anakula Bata,hakuna wa kumwajibisha,nafikiria kuanzia maded wa hslmashauri wapatikane kwa interviews ,tuachane na haya Mambo ya kupachika pachika watu hovyo