wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Hata yule mwenye njaa? Hii dharau sasa[emoji87]