Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.

Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.

Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini?

wasichague wasiyo na matokeo Tata?

Hebu waJaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Kuna Point hapa

.. vilaza wanatusumbua...
 
Weee mzee ukiingia huko serikalini wooote walirisiti na kufika hapo.
 
Shida ni kubwa sana. Hapa nashangaa sana kwamba hata hao wawakilishi wetu zaidi ya 360 hakuna hata mmoja aliyeshindwa kung'amua mtego huu. Au kuna kitu wamelishwa na kimepoteza ufahamu wao. Wakiongea wanaongea kwa woga na tahadhari kubwa sana. Unyonge wa hivi ni hatari kubwa sana. Kwakweli tumuombe Mwenyezi Mungu aingilie kati.
Nafikiri Kuna shida kwenye katiba yetu ambayo inawapa mamlaka hao makajanja na kuwanyima nafasi wenye div one . Rejea issue ya vyeti feki.
Sasa div one wangapi walidhulumiwa ktk mfumo huo.
Mpaka mtu kasomea arts ,,,,,,,,,,,,,ana gombea urahisi na kusema kasoma arts yenye economics .
Sasa wewe fikiria kwenye mkataba huu mpiga ngoma ni Msukuma na wanaofanana naye . Bahati mbaya au nzuri na kiongozi wa muhimili mwingine naye anakuwa Hana nguvu ya kumsimamia muhimili mwingine.
 
Hakuna bunge pale, spika ndo kabisaa, alinishangaza sana akiona wapinzani waliohoji aliwabana sana, wabunge wengine km Nape badala ya kuchangia content akawa anamshambulia mbowe sijui alitajwa ndani ya mkataba? Mwingine wa Tarime ndo hovyo kabisa yaani debe tupu
Ina bidii cv zao zishushwe hapa ili tujue aina ya viongozi tuliokuwa nao au tunao wachagua. Iran la kwanza mbunge awe graduate. Sasa sijui kama huko Kuna vyeti feki na kubebwa au kuiba mitihani
 
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.

Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.

Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?

Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Kwani kwa mtu mweusi wenye elimu wanathaminiwa mawazo yao? Nani ana division one na nani hana? ebu twambie walioko ofisini ni nani ana division one hiyo unayosema hapa na nani hana?

Nchi inaongozwa kikajanja janja bwashe, wenye wamewekwa pembeni chama kimeshika hatamu wakati huko chamani ndio wamejaa division five, kimbilio la wajinga walioshindwa shule ni CCM ndani ya nchi hii

Paschal acha kuwasema wabunge wa JMT walio wengi hawana hata sifa ya kuwa madiwani katika nchi hii, hivi leo hii darsa la saba anakuwa mbunge Tanzania sasa umuhimu wa elimu iko wapi, wakati hata elimu hiyo tu haipewi kipaumbele?

Acheni wanaojua umuhimu wa elimu wanunue bandari zetu, mimi hata ikulu wauziwe tu make sioni maana yake ndani ya nchi hii, siasa kila sehemu et darasa la saba aliyekimbia shule ndiye mwenyekiti wa kamati ya elimu katika baraza la council na bungeni duuh!!
 
Hivi one ya form four ina nguvu kuliko taaluma ya fedha waliosoma viongozi? Yaani unahusudu one ya masomo ya sekondari badala ya taaluma.
Yani mwenye div 2/3 na PhD ya finance ni duni kuliko mwenye one ya form four asie na hio taaluma ya fedha.
 
Mh Kishimba kasema wafunzeni watoto wenu kukitafuta hela sio kutafuta elimu tu halafu unaenda kuajiliwa na waliotafuta hela.
Warabu wanajua kutafuta hela.
Mtoa mada kama div one ingekuwa ndio uwezo wa kutafuta hela basi bandari wangeuziwa wenye div one maana wana hela kakini hawezi kununua hata basi la Yutong.
 
Ndio maana anaongea pumba
 
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.

Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.

Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?

Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
acheni udwanzi nyie ni wazi nyie mnaopinga dp hamjijui
 
Ina bidii cv zao zishushwe hapa ili tujue aina ya viongozi tuliokuwa nao au tunao wachagua. Iran la kwanza mbunge awe graduate. Sasa sijui kama huko Kuna vyeti feki na kubebwa au kuiba mitihani
Waweke na matokeo kila somo
 
Yaani ujue hata mkataba sijauona nilipata ganzi. Kwanza sheria ya PPP inamatatizo makubwa sana. Haipaswi kuwepo. Tatu hakuna uwekezaji pale TPA zaidi ya kununua vifaa vya kupakua. Kina tumeongeza tayari, upanuzi wa gate. Cha ajabu ni Pesa kidogo Tshs Trillion Moja tu kwa mkataba mrefu. Ambapo Tanzania inaweza kuwekeza hiyo pesa. Mimi nadhani Tanzania ingepeleka watu wake DP world kujifunza baada tukaweka hiyo hela hapo. Nchi haiwezi kujenga Reli ikashindwa kujenga Bandari. Ni mwendawazi tu anaweza kukubali.
Hi nchi imeja wezi na matapeli hamna mtu atakae soma alafu aje kutumikia raia bila kupewa rushwa au kuiba, hatuwezi kuendesha vitu vyetu wenyewe tulusha shindwa kila sector inapwaya kwanini? Wizi kutokua waminifu acheni bandari iendeshwe na wstaalamu serikale ipate faifa
 
Hivi one ya form four ina nguvu kuliko taaluma ya fedha waliosoma viongozi? Yaani unahusudu one ya masomo ya sekondari badala ya taaluma.
Yani mwenye div 2/3 na PhD ya finance ni duni kuliko mwenye one ya form four asie na hio taaluma ya fedha.
Elimu zingine rahisi sana huku. Ukifeli we fala. Kitu form four ndio cheyewe. Una utoto kichwani kubarehe na kila kitu kipya. Ukivuka na matokeo mazuri. Huwezi kuingia mkataba huu
 
Hi nchi imeja wezi na matapeli hamna mtu atakae soma alafu aje kutumikia raia bila kupewa rushwa au kuiba, hatuwezi kuendesha vitu vyetu wenyewe tulusha shindwa kila sector inapwaya kwanini? Wizi kutokua waminifu acheni bandari iendeshwe na wstaalamu serikale ipate faifa
Labda mwizi mwenye division ataiba kiakili si kwa kuuza bandari
 
Mzee wa "kwa masilahi mapana" kalipuka mapema, inaonekana kapu kaishia kuliona tuuu, lilikopelekwa hajui, kama lipo lakini.. 🔥
Kapu kuuza nchi ni uzwazwa Kuna vitu vya kuuza si Bandari. Mwendawazimu pekee ndio anaweza
 
Back
Top Bottom