Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Hapata Mimi siamini kama watu million 60 wanashindwa kuendesha Bandari labda uwezo wa Hawa viongozi mdogoLazima utakua muhaya wewe!
Kwanini tuamue tuweke vipanga labda wangekuja na suluhishoWe mjinga
Watu weusi mnamatatizo hizo one za kukariri kiima na kiarifu na colonial economy zinaweza badilisha Nini Katika matokeo?Kwanini tuamue tuweke vipanga labda wangekuja na suluhisho
Mimi siamini kama nchi imeshindwa kuendesha bandariNi mkataba wa upande mmoja unaotetewa na Pande zote mbili kwa zati sana sana serikali ya TZ badala ya kuuekebisha na vyombo vyao vya habari.
Duniani kote ni Tanzania tu. Serikali inawapinga wananchi wao.
Hapana tu Jaribu vipanga labda watakuja na solutionLimekuwa swala la division ngapi tena
Ndio tumewka Vilaza Sasa tayari tujaribu na Hawa waliokairiri labda mambo yatakwenda.Watu weusi mnamatatizo hizo one za kukariri kiima na kiarifu na colonial economy zinaweza badilisha Nini Katika matokeo?
Dubai nchi nzima ni 3.3m. Wasomi wetu ni zaidi ya nchi yao nzima.Mimi siamini kama nchi imeshindwa kuendesha bandari
Kweli kabisa, sisi wenye one zetu za kidato cha nne tuna-comment wapi.?Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi.....
Kwenye hili wasomi hatujashirikishwa tumeshitukia hili hapa.Dubai nchi nzima ni 3.3m. Wasomi wetu ni zaidi ya nchi yao nzima.
Rasilimali zetu mara ishirini kuliko zao. Akili za viongozi zetu ni ndogo mara ishirini kuliko viongozi wao? Hesabu?
Ana matokeo Tata sana na majina Tata. Pale ambapo amesoma kabisa watu wanamjua hakupata division oneUnaongelea vipanga? Yule Waziri wa fedha huwa anajisifu kila siku ni kipanga!
Dede liliojaa halipigi keleleKweli kabisa, sisi wenye one zetu za kidato cha nne tuna-comment wapi.?
Dubai siyo NchiDubai nchi nzima ni 3.3m. Wasomi wetu ni zaidi ya nchi yao nzima.
Rasilimali zetu mara ishirini kuliko zao. Akili za viongozi zetu ni ndogo mara ishirini kuliko viongozi wao? Hesabu?
Tuanzie na Rais. Angekuwa na elimu ya kueleweka tusingeuza Ngorongoro, loliondo, na huu mkataba wenyewe serikali hawajui hawauelewi wamesaini nini?Kwenye hili wasomi hatujashirikishwa tumeshitukia hili hapa.
Ana matokeo Tata sana na majina Tata. Pale ambapo amesoma kabisa watu wanamjua hakupata division one
Mimi Sijamtaja Rais kabisa. Rais haguswi Sina mwanasheriaTuanzie na Rais. Angekuwa na elimu ya kueleweka tusingeuza Ngorongoro, loliondo, na huu mkataba wenyewe serikali hawajui hawauelewi wamesaini nini?