ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Yeye anaona ni mchezo, yupo kama shopping hivi.Kuna kaupumbavu ka uteuzi tu bila interview baadae anaboronga antengua. Anateuwa tena
We jamaa huko serious, Design yenu ndio nyie mnasema nikiwa na Milioni naanzisha biashara ya kuku sijui nitapata kiasi gani etc.Crane ni shilling ngapi kwanza. Na je tumeshindwa kununua crane?
Je kwani mkataba usianze wa crane hayo mengine yakafuta?
✔️Tunaweza ila ndo hatujawekeza kwenye kuleta wataalamu nchini kwa ajili ya kutoa elimu kwa vijana. Tumekomaa na elimu ya kukariri misamiati
Si kweli Dubai ni Matajiri kabla ya Mafuta, halikua jangwa, Dubai sio Qatar ama nchi nyengine zilizotajirikaKwahiyo tupigwe kama wasiojitambua wote. Hizo ndio standards zenu?
Unajua Duba, UAE ilikuwa Jangwa kama Sahara in 1970's.
Kwanini wako hapa? Ni akili kama zako zako na CCM ndio zimewafikisha hapa?
Tambua hivi pia UAE almost 90% ni wageni.
Usimamizi na kusimamia rasilimali zako ndio kila kitu duniani.
Division one na uchambuzi wa Mkataba vinahusiana vipi?Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Of course Viongozi wao kwa miaka 40 Wana vision wanajua Wanakwenda wapi.We jamaa huko serious, Design yenu ndio nyie mnasema nikiwa na Milioni naanzisha biashara ya kuku sijui nitapata kiasi gani etc.
Duniani mkuu Hakuna Kama Dp world, yani hawana Alternative, ukiona mpaka China ambaye hakubali Makampuni ya Nje yafanye kazi kwake Amempa Bandari Dp world ujue anachofanya hata wao hawawezi.
Crane unazoonesha hapo ni mataka taka ya Alibaba, hapa Tunaongelea Meli kupakuliwa kwa chini ya Masaa 48 toka wiki mpaka wiki mbili za sasa, Unaongelea Crane za kisasa zinazobeba Container zaidi ya moja kwa wakati mmoja, Unaongelea logistics za Kuhifadhi maelfu ya Container na Container liwe Visible kupelekwa Destination bila kupangua pangua, Logistic yake hapo sio ya kitoto, unahitaji software za Maana.
Mimi nimefanya kazi ICD inahandle tu Container 300-500 na kivumbi chake unakiona, ukijichanganya tu Container wakati wa kutoka inabidi upangue container kadhaa upate container yako na kila Container linapoguswa na Crane ni 50,000 hio, uzembe kama huo unaweza ingizia Kampuni hasara ya mamilioni.
Ni tatizo, Rais, Mfalme, Sultan wa UAE anashiba lakini anahakikisha nchi inashiba vizuri.Kila Rais akiingia lazima ashibe na watu wake wote
Una akili timamu?Si kweli Dubai ni Matajiri kabla ya Mafuta, halikua jangwa, Dubai sio Qatar ama nchi nyengine zilizotajirika
Na Dubai wametajirika kwa uwekezaji wa nje, na hapa kinachofanyika ni uwekezaji wa Nje tatizo lipo wapi?
Watu wanalalamika mkataba mbovu ila hakuna hata mmoja anaeleta huo mkataba sasa hizi si ni cheap slanders tu?
Jiwe alikuwa msomi muuajiTuanzie na Rais. Angekuwa na elimu ya kueleweka tusingeuza Ngorongoro, loliondo, na huu mkataba wenyewe serikali hawajui hawauelewi wamesaini nini?
Wapate Uhuru kwani Walitawaliwa? Mahusiano Baina ya Uingereza na Dubai si ya kikoloni, Hilo ni Eneo la Biashara na Dubai walikua na Ushirikiano na Uingereza kukomesha piracy, in return Uingereza akawa anawalinda Hao watawala wa Dubai.Una akili timamu?
Walipata Uhuru lini? Google Dubai in 1970? Compare to Dubai 2023.
Dar es salaam in 1970 to Dar in 2023?