Kila baya wanaloliombea Taifa letu hawafanikiwi. Mungu yuko pamoja na Tanzania

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,746
Reaction score
5,772
Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.

Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni ndoto. Juzi ziara ya waziri mkuu Kassim Majaliwa imewaumbua. Maana mradi unaenda vizuri. Pamoja na kuchelewa kwa sababu za mazingira na mvua 77.9% sio kidogo.

Ukaja mradi wa JNHPP hapo wakaleta maneno mara unaharibu mazingira,mara pesa zitatoka wapi? Sasa mradi unaenda kwa kasi na kwa namna unavyotekelezwa lazima utakamilika kwa wakati.Maana ziara ya waziri mkuu pia imewaumbua.

Limekuja janga la Corona virus bado wakawa wanaliombea taifa letu mabaya. Wanataka watu wafe kwa wingi kama tulivyoshuhudia huko Usa na kwingineko.

Je, wao wangefaidika na nini watu wengi wakifa? Mwenyekiti wao anadiriki kusema waliokufa ni maelfu,bila hata kuwa na ushahidi. Hii ni baadhi tu ya mifano.

Lakini wao kusudi lao kubwa ni watu wengi wafe ili ionekane serikali imefeli kushughulikia hili janga. Lakini Mungu kawaumbua na sasa wataona aibu. Hivi kwani nyie Chadema mkikubali kufa kilaini kuna shida gani? Maana chama chenu kimeshakufa. Hakuna haja ya kuliombea mabaya Taifa letu.
 
Leo Wakati Raisi analihutubia Kanisa aliwasifu sana waumini kwa kutovaa Barakoa

Wakati ukienda kwenye idara za Serikali huingii mpaka uwe na Barakoa

Sasa tuyafuate ya nani tuyaache ya nani
 
Leo Wakati Raisi analihutubia Kanisa aliwasifu sana waumini kwa kutovaa Barakoa

Wakati ukienda kwenye idara za Serikali huingii mpaka umanunue Barakoa

Sasa tuyafuate ya nani tuyaache ya nani
Kanisani kuna uwepo wa Mungu.
 
Hicho chama ni chadema wakisaidiwa na act. Tunawataja tu wala hamna kupepesa macho. Kuna viwavi humu mitandaoni vimejaa kibao, yaani ni kutoboa mtumbwi waliopanda na wao pia na tuko mbali na nchi kavu! Hawa dawa yao ni kuwafunga jiwe zito miguuni na kuwaacha baharini kwenye kina ili wengine tufike salama!
 
Leo Wakati Raisi analihutubia Kanisa aliwasifu sana waumini kwa kutovaa Barakoa

Wakati ukienda kwenye idara za Serikali huingii mpaka umanunue Barakoa

Sasa tuyafuate ya nani tuyaache ya nani
Ya kufuata ni yaliyosemwa na Kamanda wa makamanda leo baada ya hotuba ya Rais kwenye Kanisa la KKT kwao Chato?

Kamanda wa makamanda ameendeleza kauli yake ya chuki na lawama kwa Serikali, hasa Rais Magufuli, kwa kile anachotaka Watanzania waamini kuwa yeye anajua zaidi mbinu za kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19.

Yeye, Kamanda wa makamanda, anataka kuiaminisha jamii ya Kitanzania kuwa Serikali, kwa makusudi, inaacha janga la COVID-19 liwaangamize. Ukweli ni kwamba Serikali, haikurupuki na wala haitakurupuka kufanya maamuzi bila takwimu. Hivyo basi, imeunda tume kadhaa za kitaalamu (afya na uchumi), na ziko kazini usiku na mchana zikikusanya takwimu, kuzichambua ili kuweza kupata matokeo ya kuelekeza mbinu/njia sahihi za kukabiliana na janga.

Lakini, kwa ufupi tu, hotuba yake Mbowe, kwa Taifa kupitia mitandao, leo baada ya hotuba ya Rais, siyo tu imeonesha uwezo wake mdogo wa uongozi, imemwacha uchi kisiasa. Awali nilimfagilia kuwa ni kiongozi wa siasa makini, sasa hivi naanza kujiuliza umakini huo umetowekaje.

Wakati akiishutumu Serikali kutokuwashirikisha katika mapambano dhidi ya COVID-19, ambayo siyo kweli, yeye ameshindwa kuweka chama chake katika uweelewano.

Nisiandikie mate wakati wino upo, kuonesha tofauti ya uelewa ya hawa Viongozi Wakuu wa Vyama vikuu vya siasa nchini Tanzania, kwa hotuba zao siku ya leo, Jumapili 17, May 2020.

Mbona hujanijibu nikichouliza
 
Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.
Walianza kuombea mabaya mradi wa Sgr na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni ndoto. Juzi ziara ya waziri mkuu Kassim Majaliwa imewaumbua. Maana mradi unaenda vizuri. Pamoja na kuchelewa kwa sababu za mazingira na mvua 77.9% sio kidogo.
Ukaja mradi wa JNHPP hapo wakaleta maneno mara unaharibu mazingira,mara pesa zitatoka wapi? Sasa mradi unaenda kwa kasi na kwa namna unavyotekelezwa lazima utakamilika kwa wakati.Maana ziara ya waziri mkuu pia imewaumbua.
Limekuja janga la Corona virus bado wakawa wanaliombea taifa letu mabaya. Wanataka watu wafe kwa wingi kama tulivyoshuhudia huko Usa na kwingineko. Je wao wangefaidika na nini watu wengi wakifa? Mwenyekiti wao anadiriki kusema waliokufa ni maelfu,bila hata kuwa na ushahidi. Hii ni baadhi tu ya mifano. Lakini wao kusudi lao kubwa ni watu wengi wafe ili ionekane serikali imefeli kushughulikia hili janga. Lakini Mungu kawaumbua na sasa wataona aibu. Hivi kwani nyie Chadema mkikubali kufa kilaini kuna shida gani? Maana chama chenu kimeshakufa. Hakuna haja ya kuliombea mabaya Taifa letu.

Kadiri siku zinavyoenda unazidi kuwa *****, unasema hutaji chama, lakini kwa upuuzi ulionao unataja. Usipoangalia lazima ubebe mimba hapa jf.
 
Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.

Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni ndoto. Juzi ziara ya waziri mkuu Kassim Majaliwa imewaumbua. Maana mradi unaenda vizuri. Pamoja na kuchelewa kwa sababu za mazingira na mvua 77.9% sio kidogo.

Ukaja mradi wa JNHPP hapo wakaleta maneno mara unaharibu mazingira,mara pesa zitatoka wapi? Sasa mradi unaenda kwa kasi na kwa namna unavyotekelezwa lazima utakamilika kwa wakati.Maana ziara ya waziri mkuu pia imewaumbua.

Limekuja janga la Corona virus bado wakawa wanaliombea taifa letu mabaya. Wanataka watu wafe kwa wingi kama tulivyoshuhudia huko Usa na kwingineko.

Je, wao wangefaidika na nini watu wengi wakifa? Mwenyekiti wao anadiriki kusema waliokufa ni maelfu,bila hata kuwa na ushahidi. Hii ni baadhi tu ya mifano.

Lakini wao kusudi lao kubwa ni watu wengi wafe ili ionekane serikali imefeli kushughulikia hili janga. Lakini Mungu kawaumbua na sasa wataona aibu. Hivi kwani nyie Chadema mkikubali kufa kilaini kuna shida gani? Maana chama chenu kimeshakufa. Hakuna haja ya kuliombea mabaya Taifa letu.
Hao ni misukule ni yakuwaombea MUNGU iwarudishie ufahamu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya kufuata ni yaliyosemwa na Kamanda wa makamanda leo baada ya hotuba ya Rais kwenye Kanisa la KKT kwao Chato?

Kamanda wa makamanda ameendeleza kauli yake ya chuki na lawama kwa Serikali, hasa Rais Magufuli, kwa kile anachotaka Watanzania waamini kuwa yeye anajua zaidi mbinu za kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19.

Yeye, Kamanda wa makamanda, anataka kuiaminisha jamii ya Kitanzania kuwa Serikali, kwa makusudi, inaacha janga la COVID-19 liwaangamize. Ukweli ni kwamba Serikali, haikurupuki na wala haitakurupuka kufanya maamuzi bila takwimu. Hivyo basi, imeunda tume kadhaa za kitaalamu (afya na uchumi), na ziko kazini usiku na mchana zikikusanya takwimu, kuzichambua ili kuweza kupata matokeo ya kuelekeza mbinu/njia sahihi za kukabiliana na janga.

Lakini, kwa ufupi tu, hotuba yake Mbowe, kwa Taifa kupitia mitandao, leo baada ya hotuba ya Rais, siyo tu imeonesha uwezo wake mdogo wa uongozi, imemwacha uchi kisiasa. Awali nilimfagilia kuwa ni kiongozi wa siasa makini, sasa hivi naanza kujiuliza umakini huo umetowekaje.

Wakati akiishutumu Serikali kutokuwashirikisha katika mapambano dhidi ya COVID-19, ambayo siyo kweli, yeye ameshindwa kuweka chama chake katika uweelewano.

Nisiandikie mate wakati wino upo, kuonesha tofauti ya uelewa ya hawa Viongozi Wakuu wa Vyama vikuu vya siasa nchini Tanzania, kwa hotuba zao siku ya leo, Jumapili 17, May 2020.

Mbowe Ni janga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hujanijibu nikichouliza
Nikujibu zaidi ya niliyoandika na kuweka hotuba zote mbili zinazojibu swali lako, nanukuu Huoni kama Raisi anawachanganya waumini wa KKKT kwa kuwasifu kwamba hawavai Barakoa. Kwenye nyumba ya Mungu hakuna linaloshindikana. Wanamwamini Mungu, wakiwa kanisani, ndio hao hawakuvaa barakoa kwa sababu kila mwumini anajisalimisha kimwili na kiroho kwake BWANA. Na Rais amerejea masomo kadhaa kutoka katika Biblia, kitabu kitakatifu.
 
Kwa hiyo Raisi anapendekeza Waumini wote hapa Tanzania wasivae Barakoa wakiwa kwenye nyumba za ibada?

Wewe mtazamo wako ukoje kwenye hili
 
Back
Top Bottom