Kila baya wanaloliombea Taifa letu hawafanikiwi. Mungu yuko pamoja na Tanzania

Kila baya wanaloliombea Taifa letu hawafanikiwi. Mungu yuko pamoja na Tanzania

Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.

Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni ndoto. Juzi ziara ya waziri mkuu Kassim Majaliwa imewaumbua. Maana mradi unaenda vizuri. Pamoja na kuchelewa kwa sababu za mazingira na mvua 77.9% sio kidogo.

Ukaja mradi wa JNHPP hapo wakaleta maneno mara unaharibu mazingira,mara pesa zitatoka wapi? Sasa mradi unaenda kwa kasi na kwa namna unavyotekelezwa lazima utakamilika kwa wakati.Maana ziara ya waziri mkuu pia imewaumbua.

Limekuja janga la Corona virus bado wakawa wanaliombea taifa letu mabaya. Wanataka watu wafe kwa wingi kama tulivyoshuhudia huko Usa na kwingineko.

Je, wao wangefaidika na nini watu wengi wakifa? Mwenyekiti wao anadiriki kusema waliokufa ni maelfu,bila hata kuwa na ushahidi. Hii ni baadhi tu ya mifano.

Lakini wao kusudi lao kubwa ni watu wengi wafe ili ionekane serikali imefeli kushughulikia hili janga. Lakini Mungu kawaumbua na sasa wataona aibu. Hivi kwani nyie Chadema mkikubali kufa kilaini kuna shida gani? Maana chama chenu kimeshakufa. Hakuna haja ya kuliombea mabaya Taifa letu.
Hivi ni kwa nini hawa watu wanaiombea nchi hali hiyo , ili hali wanataka kuja kuongoza nchi??
Sasa kwa kuwa na mawazo hayo hasi kwa nchi , ni kweli watakuwa na tija kwa nchi au nia yao ni mifuko yao???
 
Ila hakusema wasivae,bali maambukizi sio makali kama mnavyopotosha ndio maana hawana hofu ya kuvaa mavitambaa yenu.
Kuuliza kwani hapa kuna mtu kavaa mavitambaa? Ndio kusema msivae? Lingekuwa lilejamaa lako la Segese lisingechangia hata sh mia. Limezaliwa lilugumya.
 
Ila sintofahamu kubwa inaendelea Nchini wananchi hawajui washike lipi au wafanye nini
Yaani Magufuli anawakoroga wananchi vibaya sana

Akishawakoroga anawapiga na mabulungutu
Unajikoroga wewe mwenyewe kwa kutotaka/ kwakutokuwa mmuelewa na hii ndio inajionyesha kule kwenye fixed cost ile licence ya Usafiri kwenda Rwanda na hujui utaifidia vipi
 
Ila sintofahamu kubwa inaendelea Nchini wananchi hawajui washike lipi au wafanye nini
Yaani Magufuli anawakoroga wananchi vibaya sana

Akishawakoroga anawapiga na mabulungutu
Hakuna sintofahamu,maambukizi yamepungua.
 
Hivi ni kwa nini hawa watu wanaiombea nchi hali hiyo , ili hali wanataka kuja kuongoza nchi??
Sasa kwa kuwa na mawazo hayo hasi kwa nchi , ni kweli watakuwa na tija kwa nchi au nia yao ni mifuko yao???
Wanamfuata Kamanda wa Makamanda kwa kila anachosema ni ndiyooo, isipokuwa wapiga kura wa jimbo lake.
 
Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona

Raia wa hovyo, umevukaje wakati amekwambia bado ujilinde na korona?? Hukusikia akikwambia kuwa uamuzi wake wa kutofunga ilikuwa kuokoa uchumi. Hivi kweli unaamini hakuna corona Tanzania??
 
Hakuna sintofahamu,maambukizi yamepungua.
Raisi amesema Korona imepungua sana sana kwa sasa ila idadi kubwa ya wanaokufa ni kwa sababu ya Hofu

Swali langu ni hivi hizo Death certificates zinaandikwa cause of death ni Hofu?
 
Raisi amesema Korona imepungua sana sana kwa sasa ila idadi kubwa ya wanaokufa ni kwa sababu ya Hofu

Swali langu ni hivi hizo Death certificates zinaandikwa cause of death ni Hofu?
Hofu=stroke+blood pressure
 
Tuko kwenye stage ya kuchanganyikiwa kati ya kuvaa barakoa ama kutovaa barakoa.

Kuna madhara makubwa ya kuvaa barakoa than kutovaa barakoa...

Usininukuu sio msemaji wala mtaalam ila am sharing nilichosoma mahalo
1. Barakoa zinazuia kuingiza useful bacteria hivyo kuna chance ya watu kufa kwa magonjwa mengine.
2. Barakoa zinaondoa nguvu ya mwili kutengeneza natural immune against corona.
3. Mengine sijuwi bhana....that's all nimesoma mahali na sio mtaalam wa ku verify ukweli
Huoni kama Raisi anawachanganya waumini wa KKKT kwa kuwasifu kwamba hawavai Barakoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom